Search results

  1. M

    Birthday yangu

    happy birthday, although nimechelewa. nakutakia maisha mema
  2. M

    Ofisi Gani Hii Tanzania???

    jengo limetulia, lakini lazima iwepo arufu ya ufisadi.
  3. M

    helloooo

    jamani laiti ningejua long time kuwa kuna kitu kizuri hivi ningesaini siku nying
  4. M

    helloJF members

    hi everybody! ckujua kam kuna jf yaani laiti ningejua long time
  5. M

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba inapangishwa ipo tegeta kibaoni, ina vyumba vitatu vya kulala, master bed room, dinner, store,kwa kweli ni nyumba nzuri ipo ndani ya geti, na kuna choo cha nje, packing na sehemu ya kuchezea watoto.ni mpya.
  6. M

    General Director wa WHO anatarajiwa kuja nchini wiki ijayo

    Hi members of Jamii Forum! I hope every body is fine. wiki ijayo tunatazamia kuwa na ugeni mkubwa kutoka WHO, ni Mkurugenzi mkuu, ni mama huyu Magret Chan, ambaye atatembelea Ifakara Health Institute na maeneo mengine ya nchi ikiwemo zanzibar. Mnaonaje Ujio wa huyu mama ambaye ni Daktari?
Back
Top Bottom