Nauza toyota sprinter ya mwaka 2001,imetumika hapa Dar namba B,ni Automatic,km 116000
Tsh 6,000,000 kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia namba 0784876210,nitamtumia picha.
Dear members our company is looking for 2 Civil engineers and Quantity surveyor
Civil Engineer
(i) Looking for Graduate civil engineer with 2-5 yrs working experience on road works
an engineer with full technician certificate will be an added advantage.
(ii) Looking...
Tatizo letu huwa hatubishani kwa hoja wewe kama hujaona umuhimu wa kusoma ungetulia wengine wakasoma kwa karne hii alichokifanya january ni cha kupongezwa soma hoja alizoweka katika kitabu chake hasa namna ya kuwa na uchumi wa kikanda kwa manufaa ya taifa utaona jinsi alivyo na upeo wa mambo...
Kwa waliojiajiri wanaohitaji office kuna ofisi inapangishwa Mwenge maeneo ya kituo cha daladala cha Tegeta kwa anayehitaji tuwasiliane 0784876210, Office hii haiwezi kutumika kama frame ya duka ni kwa matumizi ya office tu.
Habari wana jamvi nauza gari kama linavyoonekana katika picha
ni NISSAN PATROL Bei 12 Million kwa anayehitaji tuwasiliane
kwa namba 0784876210 mazungumzo yapo.
Ukisikia kichwa cha mwendawazimu ndo nchi hii kwa elimu yangu ndogo na upungufu wa takwimu nilio nao jumla ya madaktari walioko hapa nchini hawazidi 5000 ninazungumzia MD kila Wilaya ina MD Mmoja ambaye ndo huwa mganga mkuu wa wilaya wengine ni AMO,CO,na wenginewe,pia nina kisia kila mkoa una MD...
Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa kibaha kwa mathias kilometa moja kutoka morogoro road ni eneo flat linafaa kwa kujenga yard,shule au matumizi mengine kwa anayehitaji wasiliana na Swedi 0654085257
Chonde chonde Chadema mnaona wenzenu CUF wanavyozimika kama moto wa mshumaa, licha ya hii taarifa ya gazetini tayari kuna taarifa za ndani ya chama kutaka kupewa msaada na mafisadi ili kujiimaarisha tunaonya tena.
TUNAONYA Chadema kutochukua senti moja ya hawa mafisadi maana mtafikiri ni siri...
Love they say is blind. But that no longer seems true today as our women and girls are becoming more exposed, on the issue of love and marriage. Getting married is one thing but marrying a man who can carry out his responsibilities as father and husband in the home is another. This is why we...
Kwa bei hiyo ni sawa viwanja vya size hiyo ndo bei zake,labda kikiwa chanika ndo kitakuwa na bei chini kidogo lakini mbezi,kimara,boko,buju is allmost the same price
Shamba linauzwa Liko Kigamboni Km 27 toka kigamboni ferry nje ya mradi,unapita njia ya Dar es salaam zoo ziko zaidi ya heka kumi kila heka Tsh milion moja halijapimwa.Kwa wahitaji piga 0784876210
Habari wana janvi nimeamua kujiajiri na kuanzisha garage katika kujikwamua kiuchumi kama kijana baada ya kufanya kazi ya kuajiriwa na kampuni ya scania kwa muda mrefu,nimeajiri pia vijana wenzangu kutoka makampuni mbalimbali hasa ya kichina ambayo yanawanyonya sana watanzania wanaofanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.