Search results

  1. K

    Khamis Sadifa Juma: Mwenyekiti UVCCM TUJULISHANE WASIFU WAKE

    Kwa jinsi alivyohutubia kwa kweli sitaki hata kukutana na wale wachina
  2. K

    Khamis Sadifa Juma: Mwenyekiti UVCCM TUJULISHANE WASIFU WAKE

    Ndugu zangu katika zunguka zunguka zangu nilikutana na kituko cha mwaka ambacho pomoja na kugurahisha ila kimetupaka matope vijana wa Tanzania na kutupa fedheha ya hali ya Juu. Ni juzi jioni pale Ngurudoto kwenye ule mkutano wa vijana mwenyekiti wa UVCCM taifa alitugaragaza kabisa vijana wa...
  3. K

    Dr. Cyril Chami avuruga mkutano wa SACCOS ya Walimu Moshi vijijini

    DR CYRIL CHAMI AVURUGA MKUTANO WA SACCOS YA WAALIMU MOSHI VIJIJINI Katika hali ambayo haikutarajiwa Juzi tarehe 28/3/2015 mbunge Wa Moshi vijijini mh Cryil chami kidogo angelisababisha mkutano Wa mwaka kwa saccos ya waalimu Moshi vijijini uvunjike. Hali hiyo ilijitokeza Muda kidogo baada...
  4. K

    Cyril Chami, Sisi wananchi wa Jimbo la Moshi Vijijini tumeamka

    Unaweza kuamini kwamba toka mwaka 2010 chami alipochaguliwa kwa mara ya pili kuwa mwakilishi wa wananchi wa jimbo hili amewahi kuuliza sali bungeni mara mbili tu? Swali la kwanza aliliuliza 9 April 2013 swali lilikuwa linauliza hivi. "Je, Serikali itatekeleza lini ahadi ya kujenga kwa...
  5. K

    Habari njema kwa vijana Tanzania

    Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini linaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa ujio wa mikopo yenye riba nafuu nchini. Mikopo hiyo ambayo itaanza kutolewa rasmi kwa awamu ya kwanza mwezi wa 12 mwaka huu itakuwa na masharti nafuu sana ikilinganishwa na aina nyingine za mikopo ambayo...
  6. K

    CCM inajisumbua jimbo la Moshi mjini

    watu wa moshi mjini si wajinga kihivyo
  7. K

    CCM inajisumbua jimbo la Moshi mjini

    mbunge yupi huyo?
  8. K

    CCM inajisumbua jimbo la Moshi mjini

    Natafuta cv yake nikiipata nitaileta hapa tuone kama anaweza kweli kupambana na ndesa pesa
  9. K

    CCM inajisumbua jimbo la Moshi mjini

    Chama cha mapinduzi kinatapatapa kila kukicha kuhakikisha kuwa kinalikomboa jimbo la Moshi mjini jambo ambalo ni sawa na ndoto za mchana kwani hawataweza kamwe kwa jinsi CHADEMA ilivyojiimarisha jimboni hapa. Kipindi hiki Chama cha mapinduzi kimemtuma kada wake kutoka daresalam anayefanya kazi...
  10. K

    Kwako Mh Cyril Chami

    mh kweli kazi ipo
  11. K

    Cyril Chami aumbuka Mkutanoni

    Miaka kumi inamtosha sana watu wa moshi vijijini ni ngumu kuwaongoza miaka 15 apumzike tu na pia wanataka mtu anayeweza kuwa waziri huyu kashakosa sifa hakuna tena mchaga ambaye ni waziri
  12. K

    Cyril Chami aumbuka Mkutanoni

    hivi kumbe jamaa anaumwa?
  13. K

    Cyril Chami aumbuka Mkutanoni

    si wa moshi mjini ni wa moshi vijijini
  14. K

    Kwako Mh Cyril Chami

    huyu harudi hizo hela anazohongea ni bora angezitumia kufanya mambo mengine
  15. K

    Cyril Chami aumbuka Mkutanoni

    Mbunge wa moshi vijijini juzi aliumbuka kwenye mkutano aliowakutanisha makada mbalimbali wa chama cha mapinduzi kutoka kwenye matawi ya ccm ndani ya jimbo la moshi vijijini. Mkutano huo uliofanyikia YMCA mbunge chami alipandwa na gadhabu kali sana kiasi cha kushindwa kuendelea kuongea baada ya...
  16. K

    Cyril chami,kagasheki,nchimbi,matayo kungooka 2015

    WANA KAZI NZITO SANA MAJIMBONI MWAO CCM ISIPOANGALIA HILI KWA AIDHA KUWAKATAZA WASIGOMBEE KATIAKA KURA ZA MAONI BASI WAHAKIKISHE MAJIMBO YAO WATAYAPOTEZA MAANA WAMETUMIA NAFASI WALIZOKUWA NAZO KUJIKUSANYIA MALI ILI WAKAWANUNUE WANANCHI.HAPA CCM NDIPO ITAKAPO TUKABIDHI MAJIMBO HAYA SISI...
  17. K

    2015 Ubunge Moshi vijijini hapatoshi ni Kati ya Cyrili Chami Dr. VS Hansi Mmassy

    chami hajafanya chochote jimboni japokuwa nasikia ameshaweka pesa mingi ya lowasa mfukoni anataka kuja kuwanunua tena wananchi wa moshi vijijini. Kwa kifupi chami namshauri atafute kazi pale UDSM atusaidie kufundisha vijana huku aliko ni kutuibia tu. Anapita jimboni na kujidai kujenga bara bara...
  18. K

    Waalimu wa Moshi Vijijin wanateseka

    BARUA YA WAZI KWA TSD WILAYA YA MOSHI VIJIJINI Sisi waalimu tuliojiendeleza katika halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini tunasikitishwa sana na namna tunavyoshughulikiwa na idara ya TSD wilaya. Baada ya kumaliza masomo yetu mwaka 2012 tulipeleka barua na viambatanisho vinavyotakiwa ili...
  19. K

    Barua ya wazi tsd moshi vijijini

    BARUA YA WAZI KWA TSD WILAYA YA MOSHI VIJIJINI Sisi waalimu tuliojiendeleza katika halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini tunasikitishwa sana na namna tunavyoshughulikiwa na idara ya TSD wilaya. Baada ya kumaliza masomo yetu mwaka 2012 tulipeleka barua na viambatanisho vinavyotakiwa ili...
  20. K

    Waalimu wa Moshi Vijijin wanateseka

    inasikitisha sana kwa halmashauri hii kuendelea kuwa mzigo kwa serikali juhudi za makusudi zinahitajika hapa kurekebisha hali hii watu wanajiona miungu watu
Back
Top Bottom