Search results

  1. Moisemusajiografii

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Bado unaendelea na ujinga.Kuna mzazi wako nataka nimtie mimba.Wili you be okay?
  2. Moisemusajiografii

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Upuuzi uuache.Ndivyo mnavyofundishana kukwepa matatizo?
  3. Moisemusajiografii

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Anajichukulia mnavyomuweka.
  4. Moisemusajiografii

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Umri mdogo? Huo umri mdogo huanzia miaka mingapi hadi mingapi?Ni sawa na kutueleza kwamba watu wenye albinism huwa hawafi. Au, kusema wazungu hapa Tanzania hawafi.Si kweli.Uchache wao hutufanya tufikiri hayo.Wanahabari ni wachache ukilinganisha na raia wengine.Wana maisha na hufa. Tafakari kwa...
  5. Moisemusajiografii

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Uongouongo wa kipumbavu huu.Hivi huwa wakikaa na wake na familia zao ndiyo wanawasimuliaga upompompo kama huo? Ujinga mtupu!
  6. Moisemusajiografii

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Uligeuka kuwa ng'ombe anayechungwa na kajukuu.🤣🤣
  7. Moisemusajiografii

    Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Mbona umetumia muda mwingi kumpangia Mungu namna ya kusamehe wadhambi?😎
  8. Moisemusajiografii

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Alikuwa apeche alolo wakati ule.Muulize kama bado ana mawazo yale!
  9. Moisemusajiografii

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Za majeneza ya kisasa au wateja waliopendeza?
  10. Moisemusajiografii

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Wa BAKITA au mleta uzi?Jisemee mwenyewe tujue kama uitwe na kamati ya maadili ya bunge au tukukokote hadi BAKITA.
  11. Moisemusajiografii

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Zipo.Za zamani ni mishono ya max na zembwela.Na za siku hizi ni "lesi-matirio"!
  12. Moisemusajiografii

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Dah!Jamaa yupo vizuri yule hadi alikuja msibani kaweka ndizi mbivu kwenye mfuko wa koti na mdaki.
Back
Top Bottom