Search results

  1. S

    Prof. Maghembe asihusishwe na kashfa ya Faru John

    WaTZ hao kaka, piga ngoma ya Mdumange atacheza, ya Kitoto, atacheza, Sindimba atacheza, Maswezi atacheza, ili muradi kasikia mvumoo yeye kiuno uwanjani, na Umanjuu juu, sasa hivi tunatia aibu sana sana, vichwani hata hutufikiriii kabisaaaa, eti hili ni lipi limekujaje, nani anahusika, lilianza...
  2. S

    SINGIDA : Basi lagonga nyumba, abiria wawili wajeruhiwa

    Wizara ya Ardhi, ndo pekee wenye mamlaka ya kugawa matumizi, ifiki wakati wa Wizara hii kusimama kidete kwa kuweka alama maalum sehemu husika ya Makazi ya Watu. Tanroad imeshindwa kabisa, inaweka alama yake na hata ukiisogelea wao hawana habari na wewe!!!!!!
  3. S

    Jengo la Makao Makuu ya TANESCO Ubungo kubomolewa wakati wowote kupisha ujenzi wa 'Interchange'

    Hakuna mwenye hasara!!!!!! Jengo la Umma, Shirika la Umma. Dhamana ya Ardhi ni ya Wizari husika, ni vyema sasa mipangilio ya matumizi bora ya Ardhi ikasimamiwa na Wizara husika. Umefika wakati muaafaka wa Alama kuu itakayotenganisha maeneo ya miundo mbinu na makazi iwekwe 1/1 na wizara kama...
  4. S

    Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

    Wanaopinga ni sababu ya kupinga kwa ulimi tu basi
  5. S

    RC Makonda kujenga makao makuu ya BAKWATA kwa bilioni 5 na milioni 80

    Uzuri kiswahili kinarahisisha mambo, MTU anaposema ujuwe na ujitahidi KUELEWA ndo jambo muhimu, sasa hivi kila MTU anajua kuelewa ndo shidda kweli kweli. Mfano nani ajuaye Msikiti Mkuu Tanga ulijengwa na nani?
  6. S

    Arusha: Siri Nzito za DC wa Arusha, Mrisho Gambo Kuzuia ziara za madiwani zafichuka

    Kuna Taasisi hufanya ukaguzi ktk maduka, ya dawa, vyakula, vipodozi, nk sasa huku kwenye mambo ya ujenzi nani mkaguzi was bidhaa hii ya ujenzi? Tuwe wakweli kuhusu maisha yetu tuache mambo ya hovyo hovyo kutegeana na fitina kibao. Penye chuki hakuna maendeleo, Arusha inazidi kudidimia kibiashara...
  7. S

    Gazeti la Ufaransa lamtaja Magufuli kama kiongozi ambaye Afrika imemsubiri kwa miaka 50

    Wasitupongeze kisha mipango, yakutuvuruga ikafata
  8. S

    Arusha: Siri Nzito za DC wa Arusha, Mrisho Gambo Kuzuia ziara za madiwani zafichuka

    Matofali hayo yalipelekwa usiku mchana? Miradi ktk maeneo hayo hayakuwa na Diwani aliyepokea? Au ndo kaleeeeee ka mchezo
  9. S

    Rais Magufuli zaidi ya kauli za kibabe ana nini kingine?

    Safirini barabarani muone, hakuna speed governor, wala U, track,cheti cha udereva, nidhamu imerejea sasa inarekebisha mambo, bado kidogo tu na hayo matuta yanayoharibu magari na barabara ataondoa. Kila MTU anawajibika ktk eneo lake la kazi
  10. S

    Rais Magufuli: Serikali haitotoa chakula cha msaada kwa watakaokumbwa na njaa

    Mtachimbachimba ardhi mpate riziki yenu. Sasa hapa tunapinga nn? Chakula cha msaada kwa wenye shida sio wazururaji.
  11. S

    Mahakama yatengua udiwani wa kata ya Musa Arusha!

    Sijaelewa huu Ukuta wa makuti ama wa matofali ya barafu?????
  12. S

    Zoezi la utambuzi wasio na kazi dar na matumizi ya takwimu kutoka Taasisi ya Takwimu ya Taifa.

    Dar, zamani siyo sasa. Mtu aliweza kutembea maeneo mengi bila vikwazo, sana sana ukutane na black September wakupore ulicho nacho, pesa, mke, viwalo basi, sasa kila sehemu shida.
  13. S

    Zoezi la utambuzi wasio na kazi dar na matumizi ya takwimu kutoka Taasisi ya Takwimu ya Taifa.

    RC, nakupongeza sana tena Sana, haya ni mageni kwa Kizazi cha sasa ambacho hata suruali zimewashinda kuvaa. Jambo hili lilikwepo kabla na baada ya Uhuru, tena likisimamiwa vyema no Mabalozi wa Nyumba Kumi Kumi, Pole sana Wtz mlowangeni ktk Taifa lenu kwa mambo us ushabiki. Hakuna mtu ye...
  14. S

    Meya wa Kinondoni aungana na Meya wa Jiji kumpinga Makonda

    Wasio na kazi maalumu wapo Wengi, pita mitaa ya Tandale ukutane nao, kama hutomtafuta Makonda au acha kioo cha gari wazi ukione cha moto. Tuache ushabiki Usio na maana, watu wanauwawa hovyo, au kwa kuwa siyo nduguyo hilo hulioni. Najuafika kinacho takiwa kukomeshwa ni nini...
  15. S

    Uingereza kweli Choka mbaya 1-100 hakuna Bilionea!

    KISWAHILI BHANA, NENDA, URUSI KIRUSI UJERUMANI KIJERU TENA UJIFUNZI LUGHA HIYO NDO USOME, INGILISHI YAKO HUKO HAITAMBULIKI. WACHINA KWETU WAMEJIFUNZA KISWAHL TUNACHAPA NAO KAZI.
  16. S

    Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Hii michezo ya IT, subirini uchunguzi Ujaji aliwaapisha nani?
  17. S

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    Matatizo, watu wanataka sifa, Uwache kufanya kazi ukae kuangalia TV kama habari itaipata baada ya ww kumaliza shughuli zako.
  18. S

    Aibu ujenzi wa Sakina - Tengeru highway

    Madaraja kwanza, kisha program ya Ujenzi huu ni Raia yupi anaye ufahamu. Napita tuuuuu sina njualooo
  19. S

    Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

    Mh, unakuwa mtunga sheria, kisha sheria huijui, unajiita Mbunge au unaitwa Mbunge!!!!!!! SIELEWI UNAPATA UBUNGE, NN MAANA YAKE???
Back
Top Bottom