Search results

  1. MWAKISALU

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Tunategegemea uchaguzi utakuwa huru na wa amani. Kwa upande wa eneo letu la Dar- Ilala- Kitunda- Kipunguni B- Machimbo hali ni swali utaratibi ni mzuri wa kufuata alphabetical order unafanya watu wasichoke na tume imejitahidi kuweka utaratibu mzuri.
  2. MWAKISALU

    Watanzania na Tanzania yetu

    Writing zangu zote jf humu huwa naacha namba yangu hewani for any comment. Fuatilia michango yangu ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MWAKISALU

    Watanzania na Tanzania yetu

    Ikikupendeza tuma tu ndugu yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MWAKISALU

    Watanzania na Tanzania yetu

    Binadamu wengi tunajisahau sana na pengine kujiona si wahusika ktk masuala yote ya ujenzi wa taifa. Tunamchagua Rais kama Kilanja tu wa kutusimamia na kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya jambo fulani kwa muujibu wa sheria. Na ndiyo maana ni Rais pekee aliyepewa mamlaka ya kusamehe na kutoa amri ya...
  5. MWAKISALU

    Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    1. Binafsi najiuliza maswali pasipo majibu kwamba je Mhe RC Makonda makontena hayo anayosema yameletwa kwa ajili ya shule ameyanunua ama amepewa tu kama msaada? 2. Na najiuliza kama ameyanunua kama RC kwanini yaje kwa jina lake na siyo kwa jina la mkoa? 3. Najiuliza pia au kapewa msaada tu...
  6. MWAKISALU

    Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Sasa umesema wewe ni raia wa kawaida kwa maana ya kuwa si askali. Na haya unayoyauliza ni mambo ya kijeshi. Ni siri za kijeshi. Hata ukijua itakusaidia nini? Mi nafikiri lingeachwa kama lilivyo tu.
  7. MWAKISALU

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Rais anamamlaka makubwa ya kumsamehe mtu yeyote kwa kosa lolote alilofanya na bado akawa kafanya msamaha kisheria. Sheria inaposema grant pardon to any person convicted by a court of law of any offence.....haingalii huyu kabaka ama kaua. Anaeza pia akawasamehe wafungwa wote waliomagerezani...
  8. MWAKISALU

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Watanzania tujifunze kuongea kwa hoja tuache kulalama kana kwamba hatujui kusoma na kama hatujui kusoma hata kuuliza nako tunashindwa? Kuna lawana eti Rais katoa msamaha kwa babu seya kwa upendeleo, hii siy kweli jamani. Someni katiba ya tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 45(1)(a) kwa maana ya...
  9. MWAKISALU

    Tunapotoa misamaha huwa hatutoi kwa fulani na fulani, linaangaliwa kundi!

    Umetumia sheria gani kufikia judgment yako hiyo? Rais anafanya maamuzi yake kwa muujibu wa katiba. Je kuna mahala ktk sheria inamlazimisha Rais kusamehe group la watu hat kama ktk group hilo limebeba watu hatari kwa ustawi wa jamii? Ni jambo jema sana kujilidhisha kabla ya kutoa lawama. Soma...
  10. MWAKISALU

    Kila nionapo picha ya Rais Mstaafu Kikwete machozi yananitoka kwa uchungu

    Hahahahahahahahaaaaa fikiria na kupambanua mambo kabla hujanza kulia. Labda kama ulikuwa kupe endelea kulialia
  11. MWAKISALU

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Mugabe is one of the veterans, a hero, and a real ture friend to his country and his people. He deserves special treatments in his country and the world at large at this tensity moment. He fought for the independence of his country, he gave Zimbabwe independence. Among other veterans, Mugabe...
  12. MWAKISALU

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ina Maswali magumu ya kujibu

    Those are the questions for which all of us do ask without answers. It is a big shame upon us all Sent using Jamii Forums mobile app
  13. MWAKISALU

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Mungu ni mkubwa sana. Mungu ndiye anayejua siku yako ya kufa brother Tundu Lissu. Binafsi nakuombea upone haraka uje uendelee na majukumu yako ya kulijenga taifa lako. Rai kwa watanzania, tumefikia hatua ambayo inatakiwa kulaaniwa na kila mtanzania, haya siyo malezi tuliyoachiwa na wasisi wetu...
  14. MWAKISALU

    William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

    Nimevutiwa sana kwa kitendo alichokifanya ndugu Ngeleja kurudisha pesa hizo. Sisi watanzania tunazitaka sana pesa hizo. Naomba wengine wote waliochukua pesa hizo wazirudishe haraka iwezekanavyo. Kumfunga mtu halafu tuendelee kumlisha akiwa jela inazidi kuiumiza serikali kiuchumi. Bora...
  15. MWAKISALU

    Dah Prof Paramagamba ni msomi hatari

    Kwa kweli na kwa dhati ya moyo wangu nimejenga imani kubwa sana na Prof Kabudi kwa namna ambavyo anazungumza kwa kujiamini na kuonekana anajua analoliongea. Prof tambua kuwa watanzania wanaimani kubwa sana na wewe. Mheshimiwa Rais amejenga imani kubwa sana kwako, kama hajawahi kukuambia hilo ni...
  16. MWAKISALU

    NATIONAL INTEREST FIRST

    Fellow Tanzanians, Christians, Muslims, Non believers and all believers in whatsoever, we are having a hard time these days. We are therefore needed to close and bury out our political differences in whatever case. The nation is on the struggle to reborn again. To reborn in terms of vision...
  17. MWAKISALU

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kuna siku katika Forum hii niliwahi sema, ikitokea leo hii rais dr. John Pombe Joseph Magufuli akafariki, Tanzania haitaweza kumpata rais wa aina yake na mzalendo wa kweli kwa taifa hili kwa pengine miaka hamsini ijayo tena. Kauli yangu kwa mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili...
Back
Top Bottom