Search results

  1. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nimevitiwa sana mimi mwaka jana nikuwa nafuga hawa wa mitandao koroiler wanaitwa. Nilisoota sana wanamagonjwa kila kukicha, wanakula kaa wanahama, hayana habari na kutamia. Nikawauza december, nikaanza kununua pure kienyeji waswahili wanaita chep4ere wanapedwa sana kwa biashara niligundua...
  2. K

    Ng'ombe wa Maziwa wawasili Dar. Karibuni sana!

    mitamba wenye mimba kuanzia miezi mitatu aina ya freshian au Eshian ni kuanzia milion 1,600,000 hadi na laki 8 kutegemeana na umri wa mimba. Ukishachagua ndio tunazungumza.
  3. K

    Ng'ombe wa Maziwa wawasili Dar. Karibuni sana!

    Kufika: Njoo jirani na njia ya kuelekea standi ya daladala ya mawasiliano hapa Ubungo. Ni pm au WhatsApp hii namba 0626641591. Fuga ng'ombe wa maziwa, mahitaji ya maziwa ni makubwa sana mjini hapa. Karibu. Ili kuweza kufuga tutakuelekeza kuanzia chanjo mhimu 3 unapompokea ng'ombe hadi azae...
  4. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    Kuanzia laki 600,000 na chini ya mil.kutegemeana na mfugaji na ubora wake. Wakishapandishwa tuu price inapaaa
  5. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    Kawaida hupandishwa kuanzia umri wa miezi 18 na mimba ni tofauti kuanzia miezi mitatu kuendelea
  6. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    Wapo wengi tena ni wazuri sababu Meru kuna vituo viwili vya upandishaji kwahiyo wafugaji karibu wote wanapandisha mbegu za mrija ambazo ni bora.
  7. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    Mitamba kawaida hupandishwa wanapofikia umri wa miezi 18 kuendelea tika wazaliwe. Umri wa mimba unakuwa tofauti kuanzia miezi mitatu na kuendelea
  8. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    Asilimia kubwa ya ngombe wanaofugwa dar wanatoka Arusha na kilimanjaro. Swala kucope kuna chanjo mahalumu unapaswa kuchanja ng'ombe sii baridi. Tena ng'ombe wanaotoka sehemu za baridi kwenda kwenye joto huongeza uzalishaji wa maziwa.
  9. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    Thanks nitaupdate basing kwenye ushauri wako
  10. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    Njoo whatapp tuone jinsi ya kufanya coz tuanadeal na wenye mimba na mbuzi wa maziwa ndama wateja ni wachache ila naweza kupakilia kwenye lorry litakaloleta 0626641591
  11. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    K Karibu tutazungumza lakini wanarank kuanzia 1.6mil hadi 1.8 mil basing kwenye umri wa mimba na umbo, transport included. Tutajuzana watakaposhushwa mkuu we njoo whatsApp ni simple kujibu maswali pesa yako itakuwa ya mwisho kabisa baada ya kuhudumiwa.
  12. K

    Ng'ombe hawa wa Maziwa kuwasili Dar wiki ijayo

    Baada ya wateja wengi kutoka Dar kuongezeka, sasa tunawaletea huduma karibu. Mapema wiki ijayo Lorry lenye Ng'ombe wa mziwa litawasili Dar. Tunachokuomba ufanye wewe, ni kufika katika boma letu kisha utachagua Ng'ombe umpendaye tutapatana utalipa utapakia. Hawa ni ngombe bora wa kisasa wa...
  13. K

    JamiiForums yamwezesha Kupata Ng'ombe Bora wa Maziwa

    Moods naomba mkiweza mnipandishie hiz picha juu
  14. K

    JamiiForums yamwezesha Kupata Ng'ombe Bora wa Maziwa

    Huyu ni Ng'ombe aina ya freshian. Mara nyingi ni wakubwa kwa umbo na wanatoa maziwa mengi kuliko aina zingine.
Back
Top Bottom