Search results

  1. Julido

    Jeshi la majini kazi yake ni ipi? kwanini hawakuenda kuokoa mwanza??

    Kifupi hatuna vikosi vyenye utayari kwa ajili ya uokozi. Police marines ndiyo wenye jukumu la msingi la kulinda raia na mali zao kwenye maji ila bahati mbaya sana hata muundo wake hauko sahihi na pia hawana vifaa vya vya kutosha vya uokozi lakini pia wao hawana mafunzo ya kutosha. Ilitakiwa iwe...
  2. Julido

    Wakuu nimeponea tundu la sindano

    Duh! moja kati ya post za hovyo zaidi tangu mwaka uanze.
  3. Julido

    Hii ndio Kigoma halisi, ukisikia nyingine ujue photocopy

    Sijui mleta Uzi anatoka mkoa gani, ila mikoa mingi Tanzania inafanana kwa maana ya Huduma. Kuna maendeleo yamefikiwa kwa kiasi fulani hasa Kigoma mjini. Barabara za mjini zimeboreshwa sasa hivi, nilifika kwa Mara ya kwanza Kgm mwaka 2000. hali ni tofauti sana na sasa. Vyakula bei kuwa...
  4. Julido

    ATCL isiishie kwenye Dash8-Q400,ijifunze zaidi na haya mazuri kutoka RwandAir

    Habari kuu sasa ni ndege za Rwanda, dah... Tumesahau kabisa tuna Madini,Bandari za kumwaga,bahari kuu,mbuga,mlima mrefu zaidi Africa nk. Hivi tumerogwa na nani? Kweli mlinganishi wetu awe Rwanda? Hebu tuwe na vipaumbele basi kama tumeshindwa kabisa!!
  5. Julido

    Ajali Njombe: Basi la New Force la Dar - Songea lapata ajali, watu 12 wapoteza maisha

    Dar Songea ni moja kati ya route ngumu sana, barabara sio nzuri hasa kutoka njombe kwenda songea,nyembamba,kona na miteremko mikali kwa umbali mrefu, Naamini ni ajali ya bahati mbaya,
  6. Julido

    Hivi viazi vinaitwaje?

    Ungesema 'botanical name' ingefana
  7. Julido

    Naulizia hospital au kituo bora cha afya Wilaya ya Mbinga

    Hospitali ya Litembo imepoteza umaarufu sasa hivi, sio ile ya zamani ya wakati Wa Dr Wayer, hata hospitali ya Anglican ya Liuli nayo kwishaaa!! Kama ni mgonjwa bora Peramiho ambayo haipo wilaya ya mbinga.
  8. Julido

    Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

    Asante kwa nyongeza ya maarifa
  9. Julido

    Hatimaye CHADEMA yawabadilisha watu wa Mbinga Mkoani Ruvuma

    Kwa ninavyoijua mbinga na CCM, safari hii nadhan wameamua kumkimbiza mwizi kimya kimya!! Muda umewadia sasa
  10. Julido

    Kwanini hakuna picha ya mwanamke katika noti, Kuna siri gani?

    Ha ha ha Hivi kuna mwanamke mkuu wa majeshi duniani hapa ?
  11. Julido

    Mnapiga Kelele eti dola imepanda, Mna akili timamu kweli?

    Well said kiongozi, najiapiza niende China nikangalie hiyo mashine ya kuchoronga toothpicks, inatia hasira sana, una import vijiti tena vya mianzi Hivi pale mafinga hakuna mabaki ya miti tukawa wazalishaji wakubwa wa hizo toothpicks kwa nchi jirani? Unataka shilingi iwe imara kwa upuuzi huu...
  12. Julido

    Mazoezi ya ndege za kijeshi anga la Dar es Salaam ni hatari

    Ngoja kikiwaka ndo utaelewa umuhimu wa hizo unazoita 'kero'
  13. Julido

    Filikunjombe atikisa Dar kuleta wasanii ngoma ya asili Mganda - yavunja rekodi kiingilio

    Jamaa kafanya kazi sana jimboni kwake, kati ya majimbo yaliyo kwenye jiografia ngumu ni pamoja na ludewa, hiyo kata ya lupingu ilikuwa ngumu sana kufikika toka ludewa mjini, Lakini sasa barabara inapitika, umeme naona nguzo zinaanza kupelekwa, Usife moyo Mbunge, maana huwezi kumfurahisha...
  14. Julido

    Waziri Mkuu, Mh. Pinda na msafara wa magari ya kifahari!

    Haha ha kama mswati eeh? Mnaanzia wilayani?
  15. Julido

    Waziri Mkuu, Mh. Pinda na msafara wa magari ya kifahari!

    Angetumia tu helicopter angetua kwa muda pale ilula akahani kwa yule mama alopoteza maisha jana af angeendelea,,,Nimewaza tu!!
  16. Julido

    Facts: 16 most powerful militaries in Africa

    Kwahiyo south Sudan wana kit nzuri kuliko tz eeh?
  17. Julido

    Msaada: Barua inakaa muda gani kufika Amerika kusini?

    Siku nyingine tumia njia za haraka japo ghali kidogo lakini barua au Kifurushi hufika haraka na pia unakuwa na namna ya kuufuatilia kwenye mtandao mkuu
Back
Top Bottom