Search results

  1. K

    Watanzania tuwe makini, Slaa anatumika kuingiza nchi kwenye machafuko uchaguzi huu

    Hata kama alikua ndani yamioyo yawatu kwahusuda yakutemwa ugombea urais inawezekana
  2. K

    Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

    Huyu mzee slaa amezaliwa kuwa mpinzani kwayo anajiandaa kuwa mpinzani wa CDM watakapo chukua nchi.
  3. K

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Mijitu mingine bwana nawahi mahakamani mtu kashapigwa chini safari hakuna posho wala mshahara kudadeki kama zamani tuu full njaaa na ilemela tumekata rufaa nahbari zilizopo Hihness atapigwa chini chezea cc
  4. K

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Hatimaye Mnyika abwagwa na Chandim eeh ooooh no chandema wanapoteza jimbo lingine hapa bila shaka nape atakuwa amefurahi sana maana alikuwa analiwinda jimbo hilo CCM tushaanza mikakati yakuwabwaga mahakamani ili mkose ruzuku
  5. K

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Mwana sheria mkuu mie nashangaa huo ujaji aliupata vipi bilashaka wakati anafanya ujaji alisha wafunga watu wengi pasipo hatia kutokana nakuwa na uelewa na upo mdogo alionao, ni mtu mropokaji hataki kufikiri jambo mara mbili, maana kabla ya vuguvugu la kudai katiba halijapamba moto alishadai...
  6. K

    IDADI WA WABUNGE wa ccm LEO JIONI MJENGONI--Mahususi ili kupitisha mswada wa sheria ya Katiba!

    Huyo mama ndio maana ni full sokwe na hiyo midevu yake
  7. K

    Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

    Bilishaka wanataka kuanzisha mgogoro na wananchi, wao wenyewe wachukulia simple haya tusubiri na tuone mtanange huu wa watawala na watawaliwa amkeni watanzania saa yaa kupata uhuru ni sasa wasituburuze kama wanaswaga n'gombe amka amka amkeni mbona mnalala watanzania tunamalizwa tunamalizwa...
  8. K

    CHADEMA yaleta AMANI MBEYA baada ya risasi na Mabomu kushindwa

    Nilicho gundua viongozi wengi wakiafrika wanajifanya vipofu kwa kuacha kutatua tatizo na kutumia mabavu hivi unawatimua machinga wasijitafutie riziki unataka waende wapi wakati huja waandalia eneo mbadala lakufanyia biashara
  9. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Huyu Mwakalinga ndio yule tulie pata habarizake, kwamba katumwamwa na wazee wa epa aka mafisadi papa aje amng'oe mwakyembe, lakini si katiba inamruhusu kuchaguliwa nakuchagua , tukae natuone lakini kama katumwa namafisadi hii haitakubalika akiliyake itakuwa fupi kama funza.
Back
Top Bottom