Search results

  1. M

    Lowassa awaharibia CCM Tabora

    Hiyo ni dalili kuwa wananchi wamechoka na wanahitaji mabadiliko......
  2. M

    Hatimaye HITS Tanzania wakubali kufulia...

    Hatimaye uongozi wa Hits umekubali kusitisha kwa muda zoezi la kuwalazimisha wafanyakazi wake kusiani fomu za kuachishwa kazi, hii inatokana na wafanyakazi kufuata na kuhoji njia za kisheria za kudai mafao na hoja nyingine zinazohusu kuachishwa kazi katika muda wa siku 10 tu ikifuatana na malipo...
  3. M

    Hatimaye HITS Tanzania wakubali kufulia...

    wanajamii, kweli bwana Mwinyi, Abdullah sio mwema.... na hana mapenzi na watanzania wenzake kama ambavyo Mzee Ruksa alio nayo kwa Watanzania, Hivi inawezekanaje mtanzania mwenzako umuachishe kazi na uumpe mshahara wa mwezi mmoja tu, na ana familia na watu wanaomtegemea..!!!!!! Hii sio sahihi...
Back
Top Bottom