Search results

  1. M

    Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee?

    Kama humjui Dotto. We ni mgeni Kinondoni. Huyo ni mzawa asilia kabisa wa Kino. Ukianzisha bifu na Dotto na wewe sio wa Kino. Wana Kino wanakuwa kitu kimoja dhidi yako. Chukua tahadhari kijana.
  2. M

    Fundi Simu: LG G5 Imezima haiwaki

    Simu imeingia maji, natafuta fundi. Nipo DSM
  3. M

    Computer Workshop

    Basic. Nimekuwa nikifanya service za ofisini kwetu tu.
  4. M

    Computer Workshop

    Natafuta kazi Katika computer workshop au Ofisi inayojishughulisha na masuala hayo. Niko Dsm maeneo ya Goba.
  5. M

    Hakuna sheria inayomzuia Lowassa kugombea urais, ukweli huu hapa

    Atastahili au Hatastahili.. Shall be entitled au Shall not be entitled... Hivyo vifungu mmenakili wapi mbona vina mashaka?
  6. M

    Nimepambana hadi nimekuwa ishu, kwa machizi ishu, kwa mademu ishu

    Blue na Nyandu wako pamoja kitambo kabla hata ya blue blue.
  7. M

    Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

    Enzambe episiyo makasi mingi, bakuye na famili kincchaza iko bye na ile kitu bakongolee natumiaga ipo na inapatia mutu yoyote inakuja hapa.
  8. M

    Haya ni baadhi ya majina ya Kimakonde

    chukurubu nchumali raichi
  9. M

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Danford Maynard Mboya - BEBETO (Posta na Simu)
  10. M

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Nimesoma hii topic kwa muda mrefu bila kuchangia chochote, sasa ni muda muafaka nami nichangie. U = Upungufu wa KI = Kinga MWI = Mwilini Swali: Upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na nini? Je! Unasababishwa na HIV? Je! Unasababishwa na malnutrition? Upungufu wa Kinga...
  11. M

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Congo nenda wewe sisi wa hapahapa
  12. M

    Toshiba Satellite J11 Battery

    Wadau mwenye battery ya laptop - Toshiba Satellite J11 aniuzie.
  13. M

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Hiyo ilikuwa balaaaaaaaaaaaaa
  14. M

    Ndege za Kivita Dar es Salaam

    Maandalizi ya kuwatia adabu wamalawi hayo, chezea tz weye?
  15. M

    Inawahusu Fans wa Manchester United..

    Men who watch their favourite sports team compete experience a similar testosterone surge to the players, say researchers at the University of Utah. They found that a fan’s testosterone levels increased by 20 per cent when his team won but fell 20 per cent when they lost. So avoid watching...
  16. M

    Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

    Hivi hapa unanihoji au tunafanya mjadala kwa kadiri ya kila mtu anavyoelewa? Maana naona kila ninachokuuliza hujibu unakuja na swali. Kama ni hivyo niseme tu inatosha. Najua utakuja na kebehi kwamba nimekimbia mjadala, na iwe hivyo lakini siwezi kufanya mjadala wa upande mmoja tu. Kila la kheri...
Back
Top Bottom