Nakiri kuwa sipo Mpanda na tangu nizaliwe sijawahi kufika Mpanda, ila kwa hiki ulichokiandika hapa hata mtoto wa miaka mitano ataona inconsistency kwenye bandiko lako. Umetuambia watu wachache wamekuja then at the sametime "zomea zomea" ya hao "watu wachache" imesababisha polisi kutumia mabomu...
Ingekuwa ulichokiandika hapa ni kweli m.k.w.e.r.e na nyie wote mnaoiba kwa mgongo wake mbona mngewashika kindakindaki hao "wapinzani wenye hatia" na kuwabebesha wao zigo lote?
Kosa la kiuandishi halibadilishi mantiki as long msomaji kaelewa kilichokusudiwa. Tafuta namna nyingine ya kutetea uozo na wizi unaofanywa na nyie mlio serikalini na sio kung'ang'ania makosa ya sarufi au alfabeti wakati ujumbe uliokusudiwa hata mbumbumbu atauelewa.
Huo unaouita ni upande wa pili, huyu mwalimu hajaonyesha kulalamika kuhamishwa ila kutotendewa haki katika uhamisho. Ni haki ya kila mtumishi kupewa haki stahiki!
Naomba unionyeshe mahali ambapo mkuu wa nchi ya kiislamu (au kiongozi wa dini ya kiislamu alie na backing ya state ya kiislamu) alishawahi kuwalaani boko haram, al qaida au kikundi chechote kinachojinadi kupitia uislamu kwa matendo yake!
That's the whole point! Kama kuna waislamu wanashawishika na tafsiri ya boko haram juu ya uislamu ina maana wanaujua uislamu (na kuupigania kama walivyoamrishwa). It is even worse ikiwa hao "wasioshawishika" nao wanakaa kimya bila kukemea matendo yanayofanywa na boko haram na kuungwa mkono na...
Ingekuwa ni waislamu tu wanaokuwa targeted usingeandika kamwe ulichokiandika hapa! Halafu unavyojitia upofu; wanafunzi ndio jeshi? Mnafiki mkubwa wewe, watoto wako huwaruhusu kwenda shule?
Wewe si ccm na muislamu mwenzenu si ndio rais? Basi mshauri ili apige marufuku watoto wote wa kiislamu...
Kwa mujibu Wa documentary ya kituo cha television cha Aljazeera, meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya Presidential Diplomatic Bag wakati Wa ziara ya rais Wa China nchini Tanzania. Documentary hiyo inataja "the highest office in the country" kuhusika na biashara haramu ya meno ya tembo. Wanatoa...
But how do you impartially assess this experience? And while you are attempting responding to me think about this "uchakachuaring" tendency that (am sure you'll agree) is prevalent in our country! Ila Nakubaliana nawe ndugu yangu kuwa experience is very important kuliko vyeti, lakini pia...
Kibaso yupi, huyu anaendika maoni yake kwenye magazeti huku akiyaita ni "matokeo ya utafiti aliofanya" bila kueleza utafiti aliufanyia wapi na sample yake ilikuwa nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.