Ni rahisi sana kusema kuliko uhalisia. Yaani upate 500,000 na matumizi yawe 200,000? Labda kama hiyo 500,000 unaivuna sehemu hiyo hiyo unayoamkia na kulala, hauna mke/mme na watoto (familia), si mpangaji wa nyumba za watu na unaishi sehemu ambako mahitaji hayakumbani na mfumko mkubwa wa bei...
Hivi kwa kutoa kauli hiyo hata kama itafika hiyo Jumatatu wasengenyaji wakawa wametulia, huyo mropokaji bado ataendelea kukaa kimya bila kuwataja majina yao kwa rais? Kwa vyovyote vile rais mwenyewe angependa kujua majina yao hata kabla ya hiyo Jumatatu bila kujali kama wamestop kumsema vibaya...
Ina maana ile kauli maarufu ya kisheria isemayo mahakama inatakiwa "ku-prove beyond reasonable doubt" haikuzingatiwa katika maeneo haya mawili?
1. Ku-prove beyond reasonable doubt kwamba kweli mpangaji alikuwa kaacha ndani kiasi hicho cha pesa milioni mbili.
2. Ku-prove beyond reasonable doubt...
Unaweza kufanya hivyo kwa kuchanganya nyanya na viungo vingine ili ukihifadhi mchanganyiko huo ili kama unapika mboga yako ibaki tu kazi rahisi ya kumimina kwenye kipikio?
Nafikiri kuna vijana wengi wanaofanya kazi hiyo ya kuandaa matangazo ambayo yanakuwa customized kutegemea na jina la biashara ya muuzaji na pia aina ya biashara yake na mahali ilipo.
Kwamba seti ya kwanza ya vichwa vitano vya treni na mabehewa matatu ya abiria yamewasili na kwamba seti moja ina uwezo wa kubeba abiria 589. Ina maana hiyo seti moja iliyofika yenye mabehewa matatu ndiyo ina uwezo wa kubeba idadi yote hiyo ya abiria 589? Mbona ni idadi kubwa sana au mimi ndiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.