Search results

  1. LILENDI

    Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

    Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa
  2. LILENDI

    Kinabo wa CHADEMA tishio Kibaha Vijijini, arudisha rasmi ya fomu ya ubunge leo!

    Ukawa unawatafanya watu wazimie mwaka huu. Mungu atuepushe na wafitini wa UKAWA.
  3. LILENDI

    Zitto akataa posho ya mil. 238

    Aiseee
  4. LILENDI

    Zitto akataa posho ya mil. 238

    Anatafuta sifa kwa kuwadanganya watu. Akichukua itabakia kuwa amechukuwa. Ameenda kuzifanyia nini sisi haituhusu. Kama sharia za bunge zinaruhusu, apeleke bank account numbers za huko anakotaka pesa ziende.
  5. LILENDI

    Serikali yashindwa kupeleka wanafunzi kidato cha tano mwaka huu

    Tuliza akili mkuu. Jambo la kitaifa linapokosa majibu kutoka kwa wahusika unawafanya watu wafikiri kadiri wawezavyo.
  6. LILENDI

    Serikali yashindwa kupeleka wanafunzi kidato cha tano mwaka huu

    Bold: ulirudishwa mkuu, kabla ya mwaka 2010+ walikuwa wanajiunga July.
  7. LILENDI

    Sijui kama nitapiga Kura

    Pole sana. lakini unaweza kuendelea kuwahamasisha watanzania wengine kujiandikisha na kwenda kupiga kura. Tuko pamoja sana
  8. LILENDI

    Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

    Ngoja shule zifungue, uandishi huu utapungua naamini
  9. LILENDI

    Zitto akataa posho ya mil. 238

    Atazipelekaje bila kuzichukua?
  10. LILENDI

    Dodoma: Bajeti kuu ya Serikali imepitishwa kwa Ushindi wa Kishindo wa 83%

    hahahaaaaaaa. kwikiwikwiiiiiiii. jf bhana.....
  11. LILENDI

    Dodoma: Bajeti kuu ya Serikali imepitishwa kwa Ushindi wa Kishindo wa 83%

    "...let it not be like hogs hunted and penned in an inglorious spot while round us bark the mad and hungry dogs making their mock at our accursed lot..." Huwa nakumbuka mbaaaaaliiii, nafikiria meeeengiiiiiiiiiii
  12. LILENDI

    Dodoma: Bajeti kuu ya Serikali imepitishwa kwa Ushindi wa Kishindo wa 83%

    ".....pressed to the wall, dying, but fighting back!" from Claude Mckay's poem "IF WE MUST DIE"
  13. LILENDI

    NEC yatishia kusitisha uandikishaji wa BVR

    Sijui alikunywa soda ya wapi? Wavivu wa kufikiri ndo wateule wa mzee wa tezi dume. kwa nini asiwashughulikie? Atakuwa alikula limao huyoo....
  14. LILENDI

    Video: Zitto Kabwe azomewa Tunduma, aitwa Yuda na Msaliti, akiri kuonja supu ya jiwe Tunduma

    Mkuu, ukisoma kwa kutulia, utamwelewa kuwa, kuna waonadai kuwa CDM ni sacoss na ipo kaskazini na ni ya wachaga. Kule ni Tunduma (wakazi wengi sio wachaga). Nguu ile ya CDM inatosha kuwa kimeenea nchi nzima
  15. LILENDI

    Nape aeleza Ukweli mchungu, "Sehemu ya hotuba hii hapa"

    Tutawapa yeye na mimi.
  16. LILENDI

    Lowassa kioo tuelekeacho

    Kutegemea kumpata kondoo kutoka kwenye uzao wa ukoo wa fisi ni kujitakia maradhi ya moyo siku zijazo. THEY SAY THERE IS HOPE FOR A BETTER TOMORROW, BUT WE FORGET THAT TODAY WAS YESTERDAY'S TOMORROW
  17. LILENDI

    Paul Makonda: Wanasiasa wanaopenda sifa kama Mbowe sasa basi

    Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sabab ya ufisadi (richmond), ccm ni chama cha kifisadi.
  18. LILENDI

    Paul Makonda: Wanasiasa wanaopenda sifa kama Mbowe sasa basi

    Ni kweli mkuu. Mi nimeongea na madereva wa daladala na nimewasikia madereva wa malori wanasema waliamua kuingia barabarani kwa HESHIMA ya MBOWE. Waacheni wasiojitambua waendelee kuufumbata upepo. Ukweli mchungu ni kuwa mioyo ya watanzania wengi imejaa hasira na tutalipa kisasi kwa ccm October...
Back
Top Bottom