Search results

  1. K

    Askari ajitoa uhai kwa kuupoteza msafara wa Kikwete Tarime!!!

    Kwenye nyekundu hapo: Unajuaje kama hiyo SMG ilikunjwa au ni ile yenye kitako kifupi?? Inaonekana unafanya vitu under assumption zaidi. Sina nia ya kukupinga ila ingependeza kama kungekua na ukweli kuhusu SMG iliyotumika. Ni kweli ilikunjwa? Una uhakika? Uliiona au uliambiwa? Please thibitisha...
  2. K

    Hey, Guys.....!!!!!!

    the importance of listening.
  3. K

    YoYo Afunga ndoa

    Bwana Harusi kula tano kwa mikao hiyo!
  4. K

    Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike.

    Mbona huku Tanga wapo wengi sana wa design kama hiyo mkuu? Tushawazowea wala moyo haudundi.
  5. K

    Kwa Wazee wanaopenda kusoma barua za mabinti zao

    creativity and innovation at malavidavi, hahaha
  6. K

    Aliyepewa Kapewa...

    Hili vazi mbona mitego mtupu!
  7. K

    Uhamiaji: Mchungezeni mrembo Richa Adhia

    And what is the difference between nationality and citizenship? You might confuse other people here as well. Respect!
  8. K

    The best.....enzi za form two hizo

    hahaha Bek benchaz walikua wanajiona magangwe kuliko wote darasani. Umenikumbusha jamaa mmoja alikua mfupi kuliko wote darasani kwetu ila alikua anapenda sana kuwa miongoni mwa bek benchaz.
  9. K

    The best.....enzi za form two hizo

    Hehehe!! Inawezekana enzi hizo na wazee tulikuwemo bado hatujamaliza. Akina John Mnyika ndio O'level,shughuli mtupu!
  10. K

    The best.....enzi za form two hizo

    Hahaha.. usinikumbushe Kibosho Girls aisee. Unajua wale wadada walikua na tabia nzuri sana. Mkimaliza debate pale wanaweka viburudisho. Wengine wanacheza music wakiigiza kama wanaume,nakumbuka mmoja alijipaka masizi kidevuni. Last time nakumbuka waliimba music wa Boys II men. Wengi wao...
  11. K

    Mwanamke gani mashuhuri kuukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010?

    Kwenye red hapo mkuu. Why Kilombero? Kwanini isiwe Temeke/ilala/mbozi/mbinga/newala/ilemela/bunda?
  12. K

    Umesoma chuo kikuu gani? Kama hakipo hapa umeliwa!

    Utaanzisha hoja ya best university humu ndani sasa mkuu. Mdau wa Hall VI.
  13. K

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Si yule aliekua askari polisi au? Kama ni hivi basi itapendeza mapolisi nao kutoa wagombea ubunge,mwe!!!. Tumezowea wahadhiri tu kila kukicha. Prof. Mwalyosi,Prof.Mungai,Prof. Msola, sasa waache wana Iringa wapate afande Deo(sijui tu kama anacheo gani sasa). Otherwise big up man!
  14. K

    Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Go Filikunjombe go...utaupata tu. Tunataka watu kama nyie mwaka huu,wembe ni uleule Ushindi!!!
  15. K

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Mkuu huyo mtu mwenyewe unaebishana nae anajina la kichina ndio maana hata hoja zake ni za kichinachina tu.
  16. K

    OUT - Nafasi ya kazi

    Yapi hayo mkuu?
  17. K

    OUT - Nafasi ya kazi

    Vipi tena,aliekuwepo mwanzo kishaenda Rwanda? Maana wasomi wetu wanahamia tu hapo kwa jirani zetu.
  18. K

    Dr. Emmanauel Nchimbi secondary school

    Kwenye bold hapo. Yaani baada ya kupata kashfa ya kupata PhD ndio anaenda kuitafuta PhD yake Mzumbe?? Mbona hapo hata walimu wenyewe tunasikia wana PhD kama yake? Kwanini asisome hapo SUA au UDSM tu kama alivyofanya Dr.Mag.? Aache kwenda sehem za mashaka unless kama ana mashaka na uwezo wa...
  19. K

    Kanda ya Ziwa na PhD Feki

    Yaani kama uwezo wako wa kufikiria wote ndio umekufikisha hapo basi umaskini bongo haututoki. What a poor mindset!!
Back
Top Bottom