Search results

  1. Davion Delmonte Jr.

    Zitto Kabwe aulizwa swali gumu Twitter, alivyojibu imeshangaza wengi

    Duuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Davion Delmonte Jr.

    The facts: Why Kenya and Tanzania need each other

    correction* Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Davion Delmonte Jr.

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    7 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Davion Delmonte Jr.

    Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

    Waliosoma Udom hawajiamini hata wakiwa makazini Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Davion Delmonte Jr.

    Forex trading short course

    Am sorry sana kwa sasa mda umekuwa tatizo, siwez kutoa training tena
  6. Davion Delmonte Jr.

    CHADEMA bila UKAWA kuelekea 2020 mmelifikiria hili??

    Chadema bado ina nguvu sana.. Halafu ujue kwamba bado ccm ina mgongano ndani ya chama..
  7. Davion Delmonte Jr.

    Polisi Moshi yazuia jeneza la mwili wa Ndesamburo kupitishwa barabarani

    We unamfaham Ndesa ni nani? We zungumzia ya home kwenu huko Kwimba.. Mambo ya Moshi waachie watu wa Moshi waamue.... BTW they are smarter than u.. So shut your mouth
  8. Davion Delmonte Jr.

    Spika Ndugai na Bunge lake hawana taarifa ya kifo cha Ndesamburo?

    Kuwa na akili saa nyingine home boy.. Jiepushe na kuropoka. Kumchukia Ndesa Pesa hakukuongezei ujiko wowote
  9. Davion Delmonte Jr.

    Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

    Forex ina risk kubwa lakini ukishakuwa smart and good trader faida itaonekana.. anaeislam forex kwamba ni high risk ujue kweli hajawahi ku trade
  10. Davion Delmonte Jr.

    Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

    Nenda ukalime tu mkuu.... Tena huko kijijini kutakufaa.. Hapa mjini lami utaweza kulima?
  11. Davion Delmonte Jr.

    Interview PPF Pensions Fund

    Kuna mtu ana report kesho kazini sasa sijui yeye ali apply zipi..
  12. Davion Delmonte Jr.

    WCF nimewavulia kofia

    Joking but this i take as a complete truth...
  13. Davion Delmonte Jr.

    Hatimaye nimethibitisha. Tuwaze mengine tusahau kule

    Hakufanyi alichokiandika kuwa uwongo..
  14. Davion Delmonte Jr.

    Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

    Tatizo watu wafupi nyie wabishi sana..
  15. Davion Delmonte Jr.

    Haya maisha ukiwa wa kipekee sana unafeli

    Na utafeli, sio kana kwamba kuwa wa kipekee ni jambo baya, ila nimegundua binadamu daima huwaogopa watu wanaoonesha upekee. Kwa sababu watu wanaoonesha upekee mara nyingi ni watu ambao wapo huru na ni watu wanaofanya mambo kulingana na vichwa vyao vinavowatuma. Ni watu wasioogopa. Wakiwa...
  16. Davion Delmonte Jr.

    Natafuta kazi nina diploma ya business administration

    Mi naona ujiajiri.. Tena wewe ni mtaalamu wa biashara.. Utatoboa.. Achana na mambo ya kuajiriwa
  17. Davion Delmonte Jr.

    Siri ya mwanamke kuombwa gegedo na kuwa mkali

    Sija give up bado mkuu.. Nadhani hili shambulizi la pili simkosi
  18. Davion Delmonte Jr.

    Siri ya mwanamke kuombwa gegedo na kuwa mkali

    Ujumbe gani mkuu? We inaonesha mtaalamu.. Embu toa ushauri basi.. Unaongea kwa mafumbo sasa
  19. Davion Delmonte Jr.

    Siri ya mwanamke kuombwa gegedo na kuwa mkali

    Una maana gani mkuu? Sijakusoma
  20. Davion Delmonte Jr.

    Siri ya mwanamke kuombwa gegedo na kuwa mkali

    Pole mkuu.. Ila sasa mambo si safi? Hongera..
Back
Top Bottom