Search results

  1. L

    Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Shule za Binafsi ni pigano la kisaikolojia na uboreshaji matabaka.Its a means to make easy money, Hata mishahara ya waalimu katika shule hizo si nzuri kama Ada ilipwayo. Pia zimwi la TUITION liangaliwe yaani mwalimu anadiriki kutofundisha vizuri saa za kazi anazolipwa mshahara wa umma ili tu...
  2. L

    Maghufuli anajibu kero za watanzania je tuendelee kulaumiana?

    Iwe Magufuli anatekeleza sera za CCM au UKAWA la muhimu ni kuwa anafuta machozi ya muda mrefu ya watanzania. Hivyo kwanini tuendelee kulaumiana wakati matumaini yetu yanaonekana kutimizwa na mwenzetu John Joseph Pombe Magufuli? Zaidi kabisa ni kumuunga mkono. Askofu Gwajima amekiri tu...
  3. L

    Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    Na inaonekana mmejaa na kutamalaki kwenye mfumo wote thumps up!
  4. L

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Ndg Pasco, Kwanza niseme Sisi tuliowengi ndio tumedhalilishwa na wachache tuliowapa DHAMANA kutowajibika ni tendon la GOOD GOVERNANCE? JE hawakujua zipo consequences kwa njia moja ama nyingine ie kuwajibishwa, kulindwa na kufumbiwa macho. Pasco, zipo njia nyingi za kufika ROMA!
  5. L

    The Observer: Tanzanians should stop provoking us

    Lo and Alas, its time to heal our wounds by one from our midst.Ugandans wake up!
  6. L

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Inaweza kuwa non sense lakini, Katika kashafa kubwa za ubadhirifu wa fedha za umma nitaje EPA (na vizaliwa vyake) ,Escrow na hating chafu za mashirika na halmashauri za umma-- -naonekana mamlaka ya juu ya nchi ilisemekana kuhusika kwenye uidhinishwaji wa ukwapuaji. BoT na sasa mabenki mengine...
  7. L

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Wizara ya fedha na Taasisi zake ndiyo mhimili wa ugavi wa keki ya taifa. Tuliwahi kuambiwa uidhinishwaji wa feha toka hazina kwenda Kagoda na hata kutolewa benki kuu EPA na ESCROW zimeidhinishwa na wizara kwa maelekezo toka ikulu.Ili huu mchezo uishe wizara ya fedha ibaki mikononi mwa Rais.
  8. L

    Nyongeza: Chaguzi zetu ni sambamba, siyo moja

    Kwanini mnafanya issue kuwa complicated? Issue ni kuwa uchaguzi huu ulikuwa uchaguzi mkuu wa Tanzania. Si wa Zanzibar!!! So watanzania wa Zanzibar wanahaki ya kumchagua RAIS WA JMT.
  9. L

    Tanzania na Demokrasia

    Wanabodi Wasalaam, Ni dhahiri kuwa Watanzania waliowengi hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu ( kkk) . Nimeshuhudia wengi wa waliopiga kura kijijini kwangu walisaidiwa kuandikiwa tiki yao kwa waliowachagua. Katika hali kama hii je watu hao walitoa sauti yao? Je ilisikika? Yaani je...
  10. L

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Wana jukwaa, Pamoja na ugumu wa TBC kusikika maeneo mengi ya nchi yaonyesha wazi ilivyo biased katika kutuhabarisha ipasavyo kuhusu mwenendo wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015. Hivi ni wagombea wa CCM TU NDIYO WANAOFANYA KAMPENI WENYEWE NA KUSEMA? Tuitake TBC itutendee haki Habari ni haki na...
  11. L

    Mzee Mwanakijiji, Slaa, Makamba, JK, Magufuli : Mahaba yetu kwa Lowassa hayapungui bali yanaongezeka

    Kwamba nchi sasa iko giza tororo ni sera nzuri ya ccm! LOH
  12. L

    Kunguni wawili aliowataja Magufuli Kilindi ni nani hao??

    tang'ana;Kama imekuuma sana nenda kanywe sumu Watu Rwanda waliitana mende...kama hujui kufa chimba kaburi. Iwe ni sumu atainya au kukatwa panga kufa ni ile ile. Utatamani usiwe mtanzania siku amani inatoweka.
  13. L

    Kwa Nini CCM Inango'ka?

    Change is inevitable ila twasihi iwe managed ili kupunguza madhara na tija iwe kubwa. UKAWA NDO WENYE MAONO HILI LITOKEE
  14. L

    Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu

    Yap, Ben ameiharibia CCM, ile tabia yake ya kuwa arrogant Kumbe hajoiacha. Watanzania 75+% ambao kwa miaka 40 ya CCM wametoa vyote walivyonavyo -KODI NA NGUVUKAZI kwa nchi hii wakaadhibiwa na CCM KWA KULAZIMISHWA WASIONDOKANE NA maadui MARADHI, UJINGA NA UMASIKINI haiwezekani wakidai ukombozi...
  15. L

    Tahadhari: Neno ILANI linawaudhi sana watanzania

    Ilani na maazimio ya TANU/ASP NA CCM ya kabla ya 90s iliaminiwa sana na Watanzania! Leo Epa,Esikiro,meremeta ....nani anazipenda?
  16. L

    Idadi halisi ya wanachama wa CCM Tanzania bara na visiwani mpaka mwaka 2015

    Haisaidii tena wako wangapi na ikiwa papiga kura walioandikwa ni 23+ million 5,7 or 8 million si significant viiile pia ukizingatia si wote wapo daftarini au hata waliopo watapiga kura wote,
  17. L

    Upi hasa ufisadi wa Lowassa?

    Baada ya Septemba mosi 2015 NANI ATAENDELEA KUMWITA LOWASA FISADI BILA USHAHIDI? Sheria ya kutosema uongo mitandaoni itasemaje?
  18. L

    Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    Link inafunguka ila kisanduku cha kuingiza namba siyo hai (active)
  19. L

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Sina Shaka kwa jinsi hali ilivyo kuwa ukweli hautawekwa wazi ni suala la wakati tu!
  20. L

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    selemani maige Mie nashauli tu wakuu kulingana na afya ya mgombea wetu angepumzika mpaka kampeni zitakapozinduliwa, naona kama anatetemeka sana asijeanguka kabla ya kampeni kuanza, angetumia muda huu kuendelea na matibabu ili kampeni zikianza awe amepata nafuu kidogo. Nawasilisha wakuu. Naomba...
Back
Top Bottom