Search results

  1. L

    Tupinge malipo ya rada kama tulivyopinga dowans(richimondi)

    Hapo kwenye bold:Huu ni uchambuzi wa Mwanakijiji kwenye one of the weekly papers zilizotoka jumatano hii nadhani ni Mwanahalisi
  2. L

    Ofisi ya Bunge yatoa taarifa juu ya habari iliyochapishwa na gazeti Mtanzania

    Mahudhurio ya Mbunge ni pale anaposaini fomu ya Mahudhurio. Kwa mantiki hii, kanuni zinamtaka bayana kila mbunge kuhudhuria vikao vya Bunge. Kanuni ya 143 inatamka kuwa: (1) kuhudhuria vikao vya Bunge na kamati ni wajibu wa kwanza wa kila mbunge. (2) Mbunge yeyote atakaeshindwa kuhudhuria...
  3. L

    Mahakama yatupa hoja za serikali; Bunge laachiwa

    Wadau kama kuna aliesoma hukumu ya kuhusu uingizwaji wa mahakama ya Kadhi kwenye "Zero" au "Boma Draft" huko Kenya hivi karibuni. Nchi ambayo kwa kiasi kikubwa tunashare mfumo mahakama zetu kwa maana ya urithi toka wa waingereza ambapo moja ya hoja zilizoibuka ilikuwa ni juu ya uwezo wa mahakama...
  4. L

    Jamani wanaJf nisaidieni hili kutoka TRA na BANK

    Pole sana ndugu yangu. Unafahamu vijana wa siku hizi hata maadili hawana.Enzi zile wafanyakazi wa benki waliaminika sana na jamii inayowazunguka lakini sasa mabenki yamegeuka mapango ya wahuni(hasa hawa vijana wanaodeal na loans). Unaweza kunipatia namba yako nijue namna ya kukusaidia?
Back
Top Bottom