Search results

  1. mjuba101

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    SHULE IMEANZA... 1. Gambling: is about playing with money, even when you know the odds are stacked against you. 2. Investing: is about minimizing risk and maximizing return, usually over a long time period (months or years). 3. Speculating: is about taking calculated financial risks to seek a...
  2. mjuba101

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kiongozi naomba uniweke kwenye List, Hayo ndio mambo yangu, Cant wait to get into it....
  3. mjuba101

    Jinsi ya kujikinga na saratani kwa kuepuka kutumia vyombo vya plastiki

    As received Jumuiya ya uchunguzi ya Madaktari Wa Marekani imetoa majibu ya Vyanzo Vya Cancer: Usinywe chai kwenye vikombe vya plastic, Usile Chochote chenye moto mfano CHIPS iliyo kwenye mfuko wa plastic, Usipashe Chakula Kwenye Microwave Kwa Kutumia Chombo Cha Plastic, Mama lishe usifunike...
  4. mjuba101

    Msaada: Soft copy ya katiba ya kikundi/ Saccoss

    Wadau habari za jioni, Kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na soft copy ya katiba ya kikundi au saccoss anisaidie tafadhali. Mimi na vijana wenzangu tumeanzisha kikundi cha watu kumi for Saving Purpose as starting point na moja ya bank requirement ni kuwa na Katiba ya kikundi, Katiba hiyo...
  5. mjuba101

    mwenye maujanja ya kuactivate iphone msaada tafadhali

    Hiyo fedha ni nyingi sana mkuu labda kama wataka nunua spea, hiyo ngoma huwezi hata kupigia picha acha kuskiza mziki And according to Apple hata wao ukiwapelekea na original receipt kwamba you are the legal owner still hawawezi kuifungua hadi umtafute previous user akupe mail and password ya icloud
  6. mjuba101

    Wadau wa bios,embu fungukeni hapa

    Hii picture ni dedication kwako mkuu
  7. mjuba101

    Iphone Security

    Restore your phone, hao wapuuzi wana Application chache tu zinazo support iOS 7 kwa sasa
  8. mjuba101

    Masters in university of dar es salaam

    Wabongo bwana unachambua post ya mtu kutafuta wap kakosea umkosoe nothing else, so stupi.d
  9. mjuba101

    Akili au Ukwaju??

    Huo ni zaidi ya ukwaju
  10. mjuba101

    Akili au Ukwaju??

  11. mjuba101

    Nauza head phone za dr dree

    Atleast zipeleke kwa ma Dk wenzie pale Muhimbili, Zitakua za kitabibu
  12. mjuba101

    Naomba kufahamu kuhusu syllabus mpya ya CPA

    Maisha yapo hivi: "Na pia ukipiga CPA ya bongo utafanikiwa kupata kazi nzuri, itakayokuingizia kipato cha kutosha na kukuwezesha kupiga ACCA nk"
  13. mjuba101

    Jordan lecturer aleta majanga kwa mwaka wa tatu$#!!!

    Huyo nae kawakosea, kwanini asingekuja darasani akasema "Jiandaeni next week kutakua na test"
  14. mjuba101

    Naomba kufahamu kuhusu syllabus mpya ya CPA

    Gharama za kusoma CPA ni 755,000 so hiyo Loan ya kazi gani Wenye uwezo wa kumudu ACCA cost ni wachache, na hata CPA inatambulika kimataifa pia wacha ku complicate mambo
  15. mjuba101

    Naomba kufahamu kuhusu syllabus mpya ya CPA

    Kwa mujibu wa hiyo new syllabus, mtu aliyemaliza Bachelor degree ataanzia intermediate level (Six Subjects), kisha ndo ataingia final stage (Four Subjects) Kwa mfano kama utaamua kufanya Module E mwezi May 2014, Kwenye New syllabus kama utatoka module E utakua na masono mawili ya final stage ba...
  16. mjuba101

    CPA (T) Review classes

    Vya bure ntavileta soon
  17. mjuba101

    Jinsi ya kuchakachua mtungi wa Gesi

    Katika hali ya kushangaza kabisa, kuna watu kibao wamenitumia message, eti wanataka maelekezo ya jinsi ya kuchakachua mtungi... Mbongo ni zaidi ya umjuavyo duh!
  18. mjuba101

    Ray c afunguka asema jackie cliff anyongwe kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya

    Wafe kabisa wauza unga wote watundikwe kitanzi
  19. mjuba101

    Pendekezo: Mh. Rais amteue Magufuli kuwa Waziri wa Fedha

    Kama ndo ivo basi wamtoe kabisa kwenye uwaziri wampeleke Tanesco
Back
Top Bottom