Search results

  1. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Nidhamu na busara kwa wasimamizi na watedaji wa mbuga ya Taifa ya Nyerere pamoja na waendesha huduma za utalii (Tour Operators) inahitajika kwenye suala hili, malaka husika zinapaswa kufikia makubaliano juu na waendesha shughuli za utalii kweye mkanganyiko huu. Utalii hauhitaji ubabe, utalii...
  2. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Huu ni ujumbe kutoka kwa Tour Operator: "Nimepata tarifa ndege tunazo tumia kuleta wageni Nyerere zinaweza cancel kutokana kutokana na hii changamoto ilio jitokeza week hii hapa nimefanya booking wagen wangu waje kesho naambiwa kesho hamna uwakika wa ndege mbaka sasa sababu abiria wengi kutoka...
  3. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Kama kuna hujuma basi zifanyiwe kazi, mamlaka zitaua bishara na ajira.
  4. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Hali Mbuga ya Taifa ya Nyerere inazidi kuwa mbaya, ndege zimeanza mpango wa kusitisha safari za mbuga hii na kupemeleka wageni Mikumi, busara inahitajika kulinda uaminifu wa Tour Operators kwa wageni, kuzilinda hoteli, ajira na mitaji kwa waendesha shughuli za utalii. Sekta hii ni very delicate...
  5. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb), Hatua za haraka zinahitajika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere/Selous. Mgogoro mkubwa unaanza kuibuka kati ya waendesha utalii (tour operator) na watalii wanaoenda kwenye hifadhi hii. Kitendo cha Maaskari wa Mbuga kuwatoa kwa nguvu...
  6. S

    Tulia Akson sio Kiongozi wa CHADEMA na Wala Sio Mahakama: Afuate Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Umefafanua vizuri sana, kuna watu kama Pascal Mayalla wanatumia vibaya sana kupotosha umma. Spika ameshindwa kutii katiba ya nchi ambayo aliapa kuilinda. Kwa nchi ambazo zipo serious hakupaswa kuwa ofisini mpaka sasa. Mhimili unadhalilishwa.
  7. S

    Tulia Akson sio Kiongozi wa CHADEMA na Wala Sio Mahakama: Afuate Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Kinachomfanya mtu kuwa ni mbunge ni pale anapokuwa ni mwanachama hai wa chama cha siasa na hii ni kwa mujibu wa katiba. Bunge linapaswa KUHESHIMU ibara ya 71(1)(e) ya KATIBA ya Tanzania. Bunge siyo Mamlaka ya Rufaa ya Wanachama wa vyama vya Siasa. Kwa maana hiyo, Bunge halina uhalali wowote...
  8. S

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Kama sio kazi ya Bunge au Spika kuhoji wabunge wamepatikanaje, as long as Barua ya utambulisho ya NEC imemfikia then ni authentic letter, je bunge linatoa wapi haki ya kuhoji taratibu zilizofuatwa na CHADEMA? Baada ya kupokea barua. Kwanini haki hiyo wasingekwenda kuomba mahakamani baada ya...
  9. S

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    CHADEMA imechukua hatua za kinidhamu dhidi ya waliokuwa wanachama wake. Katika jicho la CHADEMA, Mdee na wenzake sio Wabunge ni waliokuwa wanachama wake waliongizwa bungeni kwa forgery. Jukumu la kuwavua ubunge ni la Spika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  10. S

    CHADEMA ni kiboko, Rufaa inachukua miaka miwili kusikilizwa!

    1. Nani alisaini nyaraka zao, nani alijaza fomu kwa Niaba ya Katibu Mkuu wa Chadema?⁸ 2. Nani aliwapa barua za uteuzi na fomu namba 12C ambazo zinatakiwa kusainiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha siasa? 3. Nusrat Hanje alikuwa gerezani, kwa kuzingatia sheria za magereza utaratibu upi ulitumika na...
  11. S

    Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

    CHADEMA kinapaswa kujenga taswira chanya kwa jamii. Pamoja na mambo mengine political branding ya chama cha siasa inajengwa na udihibiti wake katika misimamo na maamuzi yake. Hakuna jinai yoyote Kutowafukuza wabunge 19 kama walingia kinyume cha utaratibu ni uvunjivu wa katiba ya chama. Kwa kuwa...
  12. S

    Waziri January ni kweli hatuzalishi Mafuta ila Afrika inazalisha Mafuta: Tanzania ni Mhanga wa uzembe wa viongozi wa Kiafrika

    Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
  13. S

    Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Labda za kupanga mezani, sio Wapigakura
  14. S

    Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Mbowe for 2025, anastahili zaidi kuliko viongozi wengi wa upinzani
  15. S

    Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Mbowe ndio anafaa zaidi 2025 kuliko wagombea wa kufikirika kutoka vyama vya upinzani
  16. S

    Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi. Kuna options mbili: Either CCM...
  17. S

    Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  18. S

    Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli tuambiwe ni kiasi gani cha pesa kilichotumika kwenye shughuli nzima

    Kwa wale tuliofuatilia mazishi ya mpendwa wetu Marehemu John Joseph Pombe Magufuli tuliona kuna kitu hakipo sawa katika gharama zilizotumika kwenye msiba huu mkubwa kwa taifa. Mazishi haya ambayo kimsingi yaliratibiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kulikosekana uwazi kwenye gharama...
  19. S

    Ushauri: CHADEMA mwaka 2025 nendeni na Freeman Mbowe nafasi ya Urais

    Baada ya kufikiria mwenendo wa vyama vya upinzani Tanzania hususani CHADEMA pasipo shaka nimejiridhisha kwamba Mhe. Freeman Mbowe ndio anafaa kupeperusha bendera ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo hasa baada ya kifo cha Hayati Joseph Pombe Magufuli. Mbowe ameonyesha kukomaa kifikra hasa katika...
  20. S

    Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Kutokana na janga la Corona, taasisi, makampuni na mashirika binafsi yametoa likizo bila kikomo bila malipo au kusitisha ajira za wafanyakazi wao bila kufuata taratibu. Ni wakati sasa wa serikali kutoa kauli juu ya jambo hili ili kulinda soko la ajira nchini. Ukimya wa serikali kwenye suala...
Back
Top Bottom