Search results

  1. I

    Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    ila usikope exim maana kuna jamaa kakopa exm takriban milion 20 hv....baada ya kumaliza documentation process na kuambiwa kuwa akaunti tayari ina mshiko.....Kwenda kucheki one day after kakuta ukwasi wake UMEKOMBWA.... so kwa issue hii kuna ukweli kwamba exim kuna wafanyakazi ambao wanajihusisha...
  2. I

    Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    unamaanisha nn kipepe.....
  3. I

    Tujifunze namna ya Kutumia Mtandao wa kompyuta Kwa Lugha ya Kiswahili

    wazo zuriii....ila summerize kidogo..!!!!!!!!!!!!!!!
  4. I

    Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    kwa wizi huu uliofanywa ktk akaunt za wateja Exim benki hatua kali zisipochukuliwa ILI kurejesha pesa za walio ibiwa HAKIKA uchumi wa nchi UTATEKETEA kwa kuwa tabia hii itaigwa na benki zingine.Pia wahenga wanasema usipoziba ufa Utajenga ukuta,hvyo Waziri wa Fedha fuatilia issue hii ili kujua...
  5. I

    Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    directa unasema hela zingine zina bima,ina maana kuna zingine ambazo hazina???? Endelea kufunguka.....
  6. I

    Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    Babaaaaa....Kwa habari hizi za wizi ktk akaunti za wateja,Yaani naiona EXIM kama Chumba cha kuchezea kamari vile..
  7. I

    Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    uko sawa kabisa mheshimiwa!!!!!! Au Exim bank haikupewa sheria na wajibu wakati wa kusajiliwa wa kulinda pesa za wateja wake labda ndio maana haitaki kulipa? Au Exm benki haitambui miiko ya operesheni za benki (i.e bank-customer relationship) ndio maana uongozi wake unazarau? Au hii nguvu ya...
  8. I

    Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    ama kweli watanzania tumekwisha...!!! hii ni dhahiri kwamba EXIM bank haina sifa ya kuwa benki tena hapa nchini kwani imeshindwa kufanya kazi vizuri ili ipate faida ya kuendesha shughuli zake matokeo yake inageukia akaunti za wateja na kuchota pesa nyingi. kama wizi huu umeanza tangu mwaka...
  9. I

    Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    hivi ina maana hii EXIM bank inafuata sheria za wapi kuendesha kazi zake hapa TZ? au haijasajiliwa? kama inafuata sheria za hapa TZ na kusimamiwa vizuri na Boss wao ambaye ni BOT basi wahanga wa ujambazi huu mkubwa wanatakiwa walipwe haraka sana bila discussion ili kuondoa AIBU na kurejesha...
Back
Top Bottom