Search results

  1. Sonnet

    Ni maajabu Muhimbili wanaanza IVF na Surrogacy 2020

    Waganga lazima waje. Daktari feki "Dr" Mwaka alipata utajiri kwa Matangazo feki kama haya.
  2. Sonnet

    Wazee wenzangu wa kutrade Forex karibuni tufanye analysis ya pair za kutrade leo

    Posts za forex trading zimepungua sana siku hizi.
  3. Sonnet

    Life Begins at 40 my friend.. How Old Are You

    The right time is always now. Not tomorrow. Act now.
  4. Sonnet

    Msanii Mbalamwezi kutoka kundi la 'The Mafik' afariki dunia ikidaiwa ni kutokana na majeraha ya kupigwa

    Sidhani kama alivuliwa nguo, mbali zilivutwa na impact ya ajali. As I said, freak accident, Najiuliza Je aliruka from a moving vehicle, alikua dragged with the vehicle au ilikua hit and run that ripped his clothes off?
  5. Sonnet

    Msanii Mbalamwezi kutoka kundi la 'The Mafik' afariki dunia ikidaiwa ni kutokana na majeraha ya kupigwa

    Freak accidents have been known to rip clothes off a victim so let's not jump to conclusions until post mortem results.
  6. Sonnet

    Kila nitakayemwambia naoa mchaga ananishangaa. Je, wana nini hawa?

    Nakumbuka hicho kisa sijui kesi yao iliishia wapi. Mwili uligundulika wakati wanachimba kaburi kwa ajili ya kumzika bibi yao eneo la familia. Wakakuta maiti yenye nguo sawa na mzee aliepotea longtime.
  7. Sonnet

    Mchizi mox ft Ngwair - Demu wangu

    Ngwair kafunika. Ngwair alimuonesha mrembo dira, alimchora tattoo pajani, alimpa cheni na ana mimba yake anayohudumia. Mchizi mox kala left overs. Ila mmh toka shule ya msingi sasa mbona wote wamedeal na under 18!!!
  8. Sonnet

    Mchizi mox ft Ngwair - Demu wangu

    Remix ije na mchizi watatu ambaye ndo mmiliki halisi wa mimba.
  9. Sonnet

    Kuajiriwa ni utumwa hizi ndo sababu zilizonifanya nikaacha ualimu

    Kwanini hawajatoboa? Wapi wanapokosea? Wanafanya shughuli gani kaka zako na mitaji ni ya sh ngapi?
  10. Sonnet

    In The Closet

    The title is misleading. Ulivyosema in the closet it implied its about homosexuality.
  11. Sonnet

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    I knew there was a catch. Jinsi mdau alivyokua anaongea nilijua tu he is trying to sell us something. Strategy mbona zipo youtube kibao. Ninayotumia mie hio hapo chini pakua bure kabisa. Download hizo videos uzipitie zote - itakuchukua kati ya wiki sita hadi nane (Hamna pesa rahisi...
  12. Sonnet

    Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    Graduates sasa hivi wana volunteer sembuse kufanya kazi
  13. Sonnet

    Mjane: Kwa miaka 64 mume wangu alinificha kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Kwingine for cheap popularity kila mtu ataambiwa
  14. Sonnet

    Binti yangu kaniandikia hivi, mnisaidie cha kumjibu

    Daah unachezea mabinti wa wengine wakwako akiguswa unachanganyikiwa. Laiti kila ungeona mwanamke ungejikumbushaa huyu nae ana wazazi na wangependa nimuheshimu binti yao, bibie angetoka salama.
  15. Sonnet

    Mume wangu anaishi maisha ya hali duni huku pesa yote akisaidia ndugu. Nimkomboe au niwe kama sijui kitu

    Kuhusu Nguo shosti sioni tatizo hapo, mnunulie darling wako apendeze. Husband kusaidia ndugu pia sioni tatizo as long as hakufichi, kila kitu anakwambia. Ni bora wasomeshwe na kuwezeshwa mapema ili baadae wasiwe mzigo kwenu. Pia kama mdau mmoja alivyosema huwa kuna kurudisha fadhila...
  16. Sonnet

    Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

    PM-Private Msg DM-Direct Msg
  17. Sonnet

    Mke una ghorofa, Mume ana two bedroom house. Mtaishi wapi?

    Mtaishi wapi baada ya ndoa na kwanini (Where will you live after marriage and why?)
  18. Sonnet

    Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

    Screenshot of my PM
  19. Sonnet

    Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

    Tuko wengi aisee. Sikujua inafungwa. Hio PM ndo imenipatia mume. Shukrani sana JF.
Back
Top Bottom