Search results

  1. Pascal Mayalla

    Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

    Tupo ambao huwa tunakumbuka Tribute to Benjamin William Mkapa: Mchango wa BWM Kwenye Tasnia ya Habari ni "Ukweli na Uwazi"-On The Bench-.Dar 24 Blog. Na Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa P
  2. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Mkuu kitali ,poa, ila zile pisi kali za enzi zile, sikufanikiwa kuziona msibani, ila wasanii wamejitokeza kwa wingi. P
  3. Pascal Mayalla

    Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika

    Karibu pande hizi Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika P
  4. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Karibu pande hizi Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs! na hizi Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele...
  5. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Lengo la ndoa ni ile huduma, mkiwa mbalimbali na hakuna huduma, ni sawa, hakuna ndoa. Muda wa kikatiba wa existence ya ndoa isiyo na huduma ni miaka miwili, muda huo ukiisha ni hakuna ndoa ila vyeti vipo ni mpaka kifo kiwatenganishe. P
  6. Pascal Mayalla

    Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika

    Hakuna cha kucheki wala pa kucheki!, wenzetu wako very open, ukila ukabakiza unatafutwa unajushwa, hivyo hakuna mabaki popote, ila Kule US, wale vijana wangu wawili, wana wadogo zao 2. P
  7. Pascal Mayalla

    Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika

    No alipambana kimaisha na kuishi top life, eat well, dress well, alikuwa very smart, nyumba mzuri, mke mzuri, magari mazuri, ofisi nzuri, mke mzuri!, kiukweli he lived his life to the fullest. P
  8. Pascal Mayalla

    Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika

    Kama ni kula tuu, nimekula sana, Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? hakuna masalia kwasababu kwenye kula sio unafakamia, ni unakula vitu vizuri kwa heshima na kujali. P
  9. Pascal Mayalla

    Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika

    Nimeoa ndoa ya Kikatoliki, ni mpaka kifo!, ila nimechanganya ukiristo na mila zetu za asili za Kiafrika za wake wengi, na nilitoa ushauri huu "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?" P
  10. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Mkuu Manjagata , kiukweli japo jamaa ni rafiki yangu, na tulifanana kwenye kupenda dogodogo, mimi nilipenda kwa ajili ya matumizi tuu, mwenzangu was searching for a companionship maana by the time tunajuana, wife wake wa sasa Mama JJ was not on the picture na JJ alikuwa hajazaliwa!. Baada ya...
  11. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Mkuu DAMA2025 , you are absolutely right, ugonjwa wake ni moja ya magonjwa hayo uliyoyataja. Terminal illness ni ugonjwa ambao lazima utakufa, hivyo ukisema unaumwa nini, watu wanakuonea huruma hivyo wanakuangalia kwa jicho la huruma. Hili la kukabiliwa na changamoto ya kiafya bila kusema...
  12. Pascal Mayalla

    Wito kwa WanaJF: JF Member anapokufa, je, tuanze kuonesha solidarity yetu kama msiba wa Regia, au tuache tu kila mtu na bahati yake na hadhi yake?

    Zamani when jf was small, jf used to do something kwenye misiba ya members wake waandamizi, Sanctus Mtsimbe aliwahi kuwa a Tanzanite member. I thought, kwa vile msiba huu ilikuwa hapa Dar, jf should have done something kwa kutushirikisha, Mimi kwa upande wangu, 1. Kwanza nilichangia uzi wa...
  13. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Kama marehemu mwenyewe hakusema, who M I kutaja?, ila sio ngoma. P
  14. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Toka msiba imetokea sikuwahi kuuliza cause of death, ila nilipoelezwa, nimemnyanyulia Mtsimbe mikono juu, huyu ni bonge la shujaa wa uhai hadi kifoni, kumbe alikuwa anakabiliwa na changamoto qya kiafya ya ugonjwa ambao ni terminal, hivyo alikuwa unaupigania uhai wake kimya kimya, na hakuwahi...
  15. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Shughuli ya mashada imeisha, sasa ni shukrani za familia. Shughuli imemalizika. P
  16. Pascal Mayalla

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Shada la 5 ni la mwajiri, Wananchi Group P
Back
Top Bottom