Search results

  1. drangimoto

    KICHEKESHO CHA DOWANS, Kikwete, majaji na watumishi wa Tanesco si WAZALENDO.

    Kwa upeo wangu UZALENDO ni hali ya mtu kuwa tayari kufanya lolote kwa maslahi ya nchi yake, haijalishi kwa kufanya hivyo atakuwa anafuata sheria au anaivunja. Yaani kwa mtazamo wangu UZALENDO uko juu ya sheria! Mf. Kwa mzalendo hawez kutii sheria au mamlaka ambayo ipo kwaajili ya maslahi...
  2. drangimoto

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hauko peke yako mwana, aseeeeeeeeeee, siasa sasa inachosha 2nachosubiri kupiga kura tu, lete isue tujadili.
  3. drangimoto

    Hivi ndivyo Lowassa alishiriki Richmond

    Wasafishaji hawajui, ila sabuni inayomfaa Lowasa na nduguze ni mahakama tu, kwakuwa kuna mkubwa zaidi yake ktk ishu hii, sijui itakuwaje?
Back
Top Bottom