Search results

  1. rosita

    Wanaume njooni mfunguke.

    Shida ni pale shemeji anapomgonga sister wako usiku nzima...unatamani aongeze mahari...hafu wewe huna hata mia...hapo mahousemaid ndo kimbilio lako
  2. rosita

    Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Tatizo lingine ni huyo jirani yako...hakuna kitu kibaya kama unalala ujakunwa vzr au hujakunwa kabisa then unasikia screaming kwa jirani....hameni teh teh natania
  3. rosita

    Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Ndoa huwa ina phrase 3..phase ya kwanza ni ya upendo motomoto na pretending..kila mtu anaficha madhaifu yake na kuvaa uhusika usio wake kumridhisha mpz/mke wake Phase 2; uhalisia..hapa kuna kuzoeana na kuoneshana uhalisia na tabia..hapa huwa ni pagumu na ndoa nyingi zinateteleka hapa na...
  4. rosita

    Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Msome idd makenga insta na tafuta kitabu chake cha ndoa yangu furaha yangu...kitakusaidia
  5. rosita

    Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Pole sana my dada..handle it to God
  6. rosita

    TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Magufuli anamtafuta Chenge..majibu ya Chenge kwenye sakata la mchanga mkuu hayakumpendeza na kwa ile kesi angeshinda..now wameanzia mbali coz kwa hili kisheria linaweza kummaliza.
  7. rosita

    Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

    Nimeongelea in general mkuu..ninaye mmoja hayuko hivyo .but before niliwahi kukutana na mtu kama huyo nikambwaga
  8. rosita

    Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

    Kwa nini wanaume wa siku hizi wengi wao wavivu...wanapenda mteremko...wanapenda kuomba hela kwa wapenzi wao...hawataki kijishughulisha....wanachagua kazi...wanataka kuona wasomi ili kuendelea kuhalalisha mteremko na sio mapenzi...tatizo ni rojo na pizza wanazokula au tatizo ni malezi au tatizo...
  9. rosita

    Ushuhuda.Kweli dawa za kuondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume zipozipo

    Nadhani kilichokuponesha ni akili tu....baada ya kujua umekunywa dawa ukajiamini na ukaperform vzr na ikakuongezea uwezo wa kujiamini...ejaculation inakuwa controlled na mind...kuna kitu katika medical kinaitwa placebo...kuna watu akili na mtazamo wao huwafanya wajione wanaumwa...na mtu wa aina...
  10. rosita

    Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

    Mmh kwa post hii..bado nakuona mtoto...mrudie Mungu wako na endelea kujifunza ndoa na mahusiano ndo uamue kuoa....
  11. rosita

    Ushuhuda...Nimefanya mapenzi na mwanamke akiwa P

    Ni rahisi kupata HIV na magonjwa ya zinaa kama mwenzi wako ameathirika
  12. rosita

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Nahisi huyo mwenyekiti wa tume ya uchunguzi ndo atapokea kiti cha uwaziri wa Nishati ya madini..nikimaliza kuota mniamshe
  13. rosita

    Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

    Kuna jopo la wanaume matapeli..wanakujaga kwa nia ya ndoa...na anakufanya umpende then anakupiga virungu kila siku...watch out...may be he is one of them
  14. rosita

    Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

    Kuna jopo la wanaume matapeli..wanakujaga kwa nia ya ndoa...na anakufanya umpende then anakupiga virungu kila siku...watch out...may be is one of them
  15. rosita

    Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

    Yepi hayooo.....nidokezeni kidogo maana nimepata kichefuchefu Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
  16. rosita

    Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

    Kuna emergence kazini nimepiga number ya coworker mwenzangu kapokea mwanamke....nishaporomoshewa matusi rundo....duh wanawake tubadilike kwa kweli....girlfriend tu unatukana coworkers wa mpz wako...ukiolewa si itakuwa balaa....ngachokaaaa kabisa.... Sent from my GT-I9082 using JamiiForums...
  17. rosita

    Kwenye kumfikisha mwanamke kileleni, wanaume wengi tunafeli

    Aiseee maisha magumu mnapata wapi muda wa kuwaza vilele
Back
Top Bottom