Search results

  1. E

    Naomba Msaada Hatua za kufata, Safari ya kutoka Tanzania kwenda South Africa

    nilisafiri mwenyewe mwezi huu kwa gari kutoka dsm-jhb. Ni safari rahisi kama kabrasha lako lina documents zinazohitajika kwenye border posts.kutoka dsm-tunduma ni approx km 910. Kwa upande wa tz utahitaji kusalimisha kadi yako original ya gari ma kupewa certified copy pamoja na temporary...
  2. E

    Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

    mkuu nimekwishajibu swali lako.
  3. E

    Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

    Sio mbwembwe. Swali ni 90% logic na 10% actual math (fractions,additions,subs and multiplications). Fanya mazoezi ya maswali 10 kama haya kila siku kwa mwezi mzima. Before you know it, you'll be doing them in a snap of a finger
  4. E

    Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

    mkuu, kwavile C anatoa msaada kila baada ya 3hrs kwa muda wa 3hrs, then katika 6hrs, kiwango cha kazi kitachokamilika ni 1/30*6+1/40*6+1/60*3=2/5. Kwahiyo, 4/5 ya kazi itakamilika in 6+6=12hrs.A na B ktk 3hrs wanakamilisha 7/40 ya kazi(inakua imebakia 1/40 kukamilisha kazi). A,B na C (C akianza...
  5. E

    Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

    Kaka, mosi Huawei ni power house kwenye telecom industry kwa sasa. Pili, Huawei ni vendor na Viettel anakuja kama operator. Tatu, Huawei ni mchina na Viettel ni mvietnam. Nne, mishahara na benefits za Huawei hauwezi na haistahili kulinganisha na hawa wa kuja leo.
Back
Top Bottom