Search results

  1. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Wakuu tujulishane pia traffic wametega wapi hii barabara ya Moshi kipindi hiki cha Kili Marathon
  2. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Leo kilomita chache kabla hujafikia Bwawani ukiwa unatokea Morogoro, palikuwa na foleni hatari, kuna ajali mbaya ilitokea kwenye one of the climbing lanes
  3. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Watu mko nae...hamuamini :D....jamaa lishafika cask linakandwa mgongo na watoto wazuri now
  4. M

    Wafanya Usafi Asubuhi; Barabara ya Kinondoni

    Wasalaam wana JF, Kwanza niwasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Kazi iendelee!!!!), ndugu yenu nimekuwa nikipita kusoma comments kwa muda mrefu sasa, sijafungua uzi takribani miaka 8 sasa, lakini kama kichwa kinavyo jinasibu hapo juu imenibidi, Hii barabara ya Kinondoni...
  5. M

    Nauli ya BRT Kenya ni Tshs 3500 kwa safari Moja, BRT Tanzania ni Tshs 650

    Habari kaka, can you please share source ya hii data, nataka nitumie kwenye chapisho langu moja la kitaaluma
  6. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Statistically airplanes are safer than buses
  7. M

    Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

    Nimelogin makusudi ku reply hii thread, jamani me bodaboda nikija kukutana naye usiku inaniletea mambo ya kis*nge, nitasukumiza mtaroni, afanaleki!!!!
  8. M

    Mwanangu wa darasa la pili hili swali kakosaje? Au mwalimu ndiye hajielewi?

    Kwa hiyo handwriting huyo dogo ni smart... atafika mbali
  9. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    same here, vibao huwa tunaanza kuangalia kuanzia Mlandizi au bagamoyo
  10. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Huwa wanakaa Tegeta pale...just beforer IPTL ukikaa vibaya unaacha 30K
  11. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Issue ni ku clear taa ya check engine isiwake au ni kutafuta root cause ya tatizo? no wonder mafundi wahuni huwa wanafunga na black masking tape ili upate amani ya moyo kumbe tatizo liko palepale
  12. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    hakuomba namba ya simu?
  13. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Daah na hali ya hewa hii... watu tunaghafirika!!
  14. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kasie Matata he he he
  15. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Arusha naipendaga ile bypass aisee...tamu sana aisee...utadhani haupo Tanzania
Back
Top Bottom