Search results

  1. G

    Mjane...

    Utajua tu muda wa kufanya/kutofanya hivyo mara litakapokupata la kukupata. Vitu vingine havina majibu ya jumla jumla bali hutegemea na hali halisi iliyokukuta na eneo ulipo pamoja na utamaduni wa watu wanaokuzunguka pia. Kwa ujumla muda muafaka wa kufanya hivyo huwadia na ukiwadia hakuna wa...
  2. G

    Malizia sentensi hii uonavyo...

    Kila mmoja akachukua Kitabu cha Nyimbo na tukaanza kuimba waimbo wa "Bwana U sehemu yangu na rafiki yangu wewe katika safari yangu nitatembea na wewe"
  3. G

    Kipaumbele katika maisha

    Kisusi, hongera kwa kuibua haka kamada kazuri na muhimu kwa wengi mimi nikiwemo. Naomba kumuunga mkono Joste kwa asilimia 70. Kwa mtazamo wangu Kipaumbele katika Maisha kitategemea na mipangilio ya mtu mwenyewe.Wakati mwingine angependa atangulie kuoa mwingine anafikiria gari kwanza na...
  4. G

    Spika 6 alivyotajirisha watu wiki iliyopita

    Mh wazee, taarifa nyingine ni kuzichunguza kwanza maana isije ikawa nasi twafanya ufisadi mdogo wa kuwazushia watu bure. Bilioni 6 jamani ni kiwango cha kutosha kabisa, kama ni kweli hivi hawa Viongozi wetu hawana huruma hata kidogo??? Tunapiga vita umaskini kweli au twauongeza?? Jamani hebu...
  5. G

    Pengo: Nchi imeoza!

    Haya mambo yanahitaji tafakuri ya hali ya juu sana ili kuyaelewa.Yawezekana wengi hatujausoma huo waraka na tunajibizana kutokana na jinsi vyombo vya habari vinavyoandika au wanasiasa wanasemaje na mbaya zaidi kila mtu anatoa hoja akitokea upande anaodhani yeye uko sahihi. Kwa kuusoma na...
Back
Top Bottom