nitakuwa navuna kila baada ya mda gani? yaani kambale yup anafaa kuvuliwa. @mods naomba mlunde hii sred mana kuna mamluki. kama huli kambale hujalazimishwa.. tupishe hapa tunaitaji kujifunza
poleni sana mnaomsema askofu Kakobe kisa eti umeskia... inashangaza sana mwanaume mzima unaandika habari za kuambiwa na hufanyi utafit unakuja kuandika umbea.
garama za ku endesha kilimo cha nyanya ni kiasi gani kwa mwaka mzima ndani ya hiyo green house? soko la nyanya je? msiku wa kupanda na kuvuna je? maana kwa sasa tenga la nyanya iringa ni elfu 3. na huwezi uza bila dalali. kwanini msinikopeahe na nilipe taratibu wakati wa mavuno if tje project is...
Nahitaji iliyotumika na mtu yoyote hapa hapa tz. Iwe chini ya cc 1400. Iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2000. Iwe haijawai pata ajali.
Kama unayo ni-pm ili nikupe namba ya whatsup unitumie picha.
dah waliimba wimbo mzuri sana wa ndoa... nayakumbuka mashair yake.. maisha ya ndoa yafananishwa na safar defu, njian kuna mambi mengi... dah ndoa haina fomula isee ni kwa neema tunaishi.
miezi 6! big NO!
ulikosa na akakuona unatafuta msamaha afu anakupiga chenga... otherwise iwe ni story ya kutunga.. ila miezi 6 bila tendo la ndoa basi hapo hakuna ndoa tena.au unamtegemea kwa kila kitu so unaogopa mkiachana utaishije.
Kwa kijana ambae mda wowote unaacha kazi ni bora ujiunge mfuko unao katwa 5% afu mwajiri wako anakuchangia 15% kama vile LAPF, na mingine siijui. Hii ni kwasababu utakapoacha kazi na kudai pesa yako utalipwa yote (bila nyoongeza wala kupunguzwa, yaani ile 20% mara miezi uliofanya kazi)
Lakini...
Unalipwa sh. ngapi ZeMarcopolo kwa siku na mzee wa pembe za ndovu? poleni sana na subiria magazeti ya kesho watu waendelee kuelewa zaid uozo wake na chama chake, MSIGWA kasema ukweli na msiopenda ukweli mnaanza kutapa tapa, mnatia huruma sana...!
Naona waajiriwa wa CICIEM mko wengi sana humu ndani siku hizi, Poleni sana hata mjifunike vipi mshafunuliwa na uchi wenu umeonekana, kazi iliyobaki ni kwa wananchi kuwa hukumu! shame on u!
BIG UP REV.MSIGWA! usiache kuendelea kuleta ukweli
IPO SIKU KILA KITU KITAWEKWA WAZI, na sasa ndo yameanza kuwekwa wazi, huo mkataba wa loliondo na falme za kiarabu ni dhahiri tunaibiwa ndani ya nchi yetu. Haya yalifanyika wakati wa utawala wa mwinyi nadhani lakini wakati wa mkapa yakaendeleswa na hata sasa JK anayaendeleza, JK weka mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.