Search results

  1. W

    Kubadilisha umiliki wa gari lililokuwa na msamaha wa kodi

    Habari wakuu Naomba msaada kwa wenye uelewa na sheria za kodi. Nimenunua gari ambalo kabla yangu kuna wamiliki watatu. Kadi ya gari haioneshi kama ina msamaha wa kodi, nimefanya mabadiliko ya umiliki na yamepita vizuri na kadi mpya nimepata ikiwa na details zangu. Wiki tatu baadae napigiwa...
  2. W

    Nimegonga gari ya kuazima, nimepata hasara ya Sh. Milioni Moja

    Hebu jiambie “kiranga koma”. Siku nyingine usiazime magari ya watu, request bolt au panda daladala kuepuka kadhia unnecessary kama hizo
  3. W

    Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

    Mkuu kama hutojali naomba namba zao na mm nahitaji tanfom npo dar Sent using Jamii Forums mobile app
  4. W

    Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

    Wakuu hiyo kitu inanitesa sana, nimetumia sonadem sana pamoja na intraconazole lakin siponi. Inapotea kwa muda mchache nisipotumia dawa hali inajirudia. Mwenye tiba ya kudumu tafadhari msaada wako unahitajika sana
  5. W

    Tatizo la tumbo kujaa gesi na kupelekea mara kwa mara kutoa hewa chafu linahatarisha ndoa yangu

    Wakuu habari, Kwa zaidi ya week sasa nimekua nikisumbuliwa na tumbo. Linajaa gesi na kwa upande wa kushoto chini ya mbavu napata maumivu. Nimetumia dawa za kuondoa gas lakin matokeo bado. Ushauri wenu wakuu.
  6. W

    Mtoto kulegea miguu

    Maelezo ya ziada tafadhari. Kumbemenda mtoto ndo inakuaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. W

    Mtoto kulegea miguu

    Ananyonya vizuri mkuu..hapo kwenye mechi za ugenini sijakupata vizuri. Maelezo ya ziada tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  8. W

    Mtoto kulegea miguu

    Habari wana jamvi. Tafadhali naombeni msaada wa mawazo, nimejaliwa kupata mtoto wa kike ana miezi mitano sasa. Changamoto iliyopo kwenye ukuaji wake ni kukaa kwa shida lakini pia miguu hawezi kuisimamia pale unapomsimamisha kwa kumshika. Sina uzoefu sana na ukuaji wa mtoto maana ndo wa kwanza...
  9. W

    Nahitaji diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi

    Water fast ndo inakuaje mkuu?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. W

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    We jamaa unahangaika sana na dawa yako hiyo..insta ndo unatapa tapa balaa, kila post ya mtu maarufu hukosi na matangazo yako ya formula.
  11. W

    Mabasi mawili yapata ajali, New Force imepata ajali Vigwaza na Arusha express imepata ajali Babati na kuua 4

    Mkuu imani za kishirikina zimekutawala sana. Ushaambiwa ni arusha express na new force, haya tahmeed anaingia vipi hapo?? Punguza mihemko
  12. W

    Ni suala la muda tu. Hili la Davis Mosha litaondoka na mtu

    Umeanza vizuri ila mwisho wako unaonesha kitu tofauti...mali zake zinahusiana nini na kumdhalilisha afisa?? The issue ilikua kumwajibisha kwa kuikosea heshima mamlaka, na sio mali kaipata vp
  13. W

    Uzi wa vyakula tu

    Akatoke ne ngenge..mayo kuchumba
  14. W

    Natafuta dalali ataeweza nitaftia takeover wa kampuni yenye worth 1.6....bil..

    Mkuu tungepata japo kwa uchache shughuri za kampuni ingependeza.
  15. W

    Kwa matatizo ya gari

    Mkuu kwanza nikushukuru kwa elimu unayoitoa jukwaani hapa. Tatizo langu ni kuchelewa kuchanganya kwa gari yangu aina ya toyota nadia, ukitoka inakua nzito then baada ya muda kidogo inakaa sawa. Tatizo lingine kuna wakati inakua inavuma. Msaada wako mkuu
  16. W

    Kiwanja chenye hati Dar Es Salaam kinahitajika

    Wapi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. W

    Kiwanja chenye hati Dar Es Salaam kinahitajika

    Nakutafutia wewe Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom