Search results

  1. K

    Tanzania na sera za uwekezaji

    Nimerudi tena mwanakijiji, mbuga zangu kuzinyatia Siwahukumu wa magharibi, hata wale wa ghuba, kukicha mitutu wanaikoki, wanyama wangu kuwaua, Sheria ni kwa sisimizi, kwa tembo eti huzikwa, Nasema haiingiii akilini, waporaji kupewa mbuga, Tanzania umekosa vingi, hata mapori unawekeza? Mwisho...
  2. K

    Mfumo wa Vyama vingi na Katiba ya chama kimoja

    Habari zenu wana JF, nimerudi tena wakijijini a.k.a kijiji chetu, Naomba kushika kalamu, kutoa yangu maoni, Japo wengi mnalaumu, mioyo yenu siisemei, Kijiji changu ni chenu, japo wengi mnakisaliti, Vyama vingi ni fununu, maana msahafu hautaki, Katiba yao si yetu...
  3. K

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Naomba kutoa hoja kwa wanafamilia wa JF. Mimi naona kuna ulazima kwa mamlaka husika kuunda tume itakayoshirikisha wakuu wa vyuo vyote vilivyopo hapa nchini na kuwasiliana na wale wa vyuo vya nje ili kufahamu au kujilizisha na vyeti vya baadhi ya waajiriwa serikalini. Juzi tumesikia...
  4. K

    Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

    Mimi inanisikitisha sana kuona baadhi ya watu wakipata nafasi za kazi serikalini tena hadi kufikia ngazi ya uwaziri wakati vyeti vyao ni vya kuchonga? hawa mawaziri wawili wenye vyeti feki ni baadhi tu, naamini kabisa kama mamlaka zinazohusika zikiamua kuchunguza ajira za watu serikalini na ktk...
  5. K

    Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

    Yanga walie tu, Fainali ni Simba na Sofapaka, maana hawa ndo wanaofahamu kuucheza mpira na si haoNgamiawakaa jangwani.Sasa leo watanyeshewa na mvua ya magoli.
  6. K

    Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

    Mechi ya leo ndio fainali, kuna uwezekano wa watu kula sikuu ya x-mas huku wakiwa na simanzi kubwa, record iliyowekwa na simba mpaka naandika huu ujumbe ya kutopoteza mechi toka mwaka huu uanze ni ishara tosha kabisa kwamba; Leo mnyama lazima atafune ndala na kushushia na uji wa yeboyebo,
Back
Top Bottom