Hi wadau,
Nina biashara yangu ya kuuza computer accessories mikoani (Out of DAR) na nahitaji serious and reliable distibutor/whoseller atakayeweza kuniuzia "mzigo" kwa bei nzuri ili na mimi niweze kufanya resell.
Tafadhali tuwasiliane
This is crazzzzzzzzzzzzzy; cant they filter the list and come out with a reasonable of prospective candidates??????. Think of how much will be spend on that exercise leave alone travel costs for individuals from upcountry....
We need to be economic Tanzanians
Pipoooooz....
I have drafted this table just to give you a rough picture of how opp. candidates scooped tanzanian trust for representation mjengoni. The list includes those who won and declared according to NEC officials as well as those who won but for some reason... a group of few people for...
Kamala anajipendekeza kwa JK angalau asisahaulike kwenye serikali ijayo maana anaona kibarua kimeota nyasi na hataitwa ten Mh baada ya Mwezi mmoja. Hatahivyo hajui anayoyaongea... EA protocal is not a bible, if it is not on our favour inaeza kuvunjwa na maisha yakaendelea bila shaka yoyote...
Bubu, Hii article imetulia.
To be honest siamini kama serikali ya JK imemaanisha kuondoa tatizo la rushwa katika chaguzi za Tanzania ambalo kila kukicha linazidi kushika kasi kama moto wa nyika.
Inawezekana hii itatumika kama fimbo kwa wabaya wake ili kuwamaliza kisiasa ukizingatia kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.