Search results

  1. mwa 4

    Waliosaini mikataba mibovu wanakula raha, Yeriko Nyerere amelala sero

    Mwacheni yeriko ashike adabu kazoea mambo ya kuzua na kuzushia watu wengine uongo sasa ngoja anyooshwe sasa
  2. mwa 4

    Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

    Wapinzani hawajawahi kushinda uchaguzi hata siku moja wanachofanya ni upotoshaji tu hakuna lingine la maana hata moja.
  3. mwa 4

    Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

    Yani mtu mzima unaleta mada halafu unasema inasemekana huoni aibu kuleta hoja za kusemekana?
  4. mwa 4

    Rais John Magufuli anapaswa kuliomba radhi taifa hili

    Utasota sana mkuu msamaha ombwa na visichana vyako siyo jpm hapa kazi tu
  5. mwa 4

    Chama cha Wafanyabiashara wa madini Tanzania waipinga ripoti ya mchanga, wadai Taasisi huru

    Kisa nn mpaka aingie uvunguni acha mibangi yako hizi zama siyo zakuibiana waondoke tu.
  6. mwa 4

    Chama cha Wafanyabiashara wa madini Tanzania waipinga ripoti ya mchanga, wadai Taasisi huru

    Sisi hatutaki fanya nao biashara waende kwao watuache na madini yetu
  7. mwa 4

    Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Njia nyingine nikuanza kuvamia tu hiyo migodi tuwacharange mapanga na mishale kwenda mbele
  8. mwa 4

    Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Njia nyingine yakufanya tupunguze ulinzi kule migodini ili wananchi tuwape fulsa kwenda kupora dhahabu na madini mengine ili hali ya usalama kwao iwe mbaya wakimbie halafu tuanze kuchoma moto mali zao mpaka waombe poo.
  9. mwa 4

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Upo sahihi kabisa kunamalimbukeni kibao kwenye mitandao ya kijamii watatumika lakini hawatatushinda.
  10. mwa 4

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Acheni tu afungue tutakutana huko wajinga sana hawa jamaa wezi wakubwa
  11. mwa 4

    MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Matajili wengi ni wanyonyaji wakubwa hutaka faida kubwa kwa manufaa yao zaidi.
  12. mwa 4

    Wafanyabiashara waliokopa Benki ya Twiga mali zao zaanza kukamatwa

    Kwanini wakope bila kulipa wakati dawa ya deni kulipa?
  13. mwa 4

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA na kuivunja Bodi

    Twende mzee wa kutumbua hakuna namna nyingine tuwatumbue tu.
  14. mwa 4

    Rais Magufuli aitia Saini Sheria ya Huduma za Habari 2016

    Maneno ya mkosaji.
  15. mwa 4

    CHADEMA msimlaumu Mbowe, Lowassa na Mashinji; kubalini tu Rais Magufuli yupo vema!

    Magufuli kauwa kabisa hoja za upinzani hawajui wafanye nini hawana hoja hata moja kwa sasa.
  16. mwa 4

    Korea Kaskazini ina vituko, ushindi wa Trump haujatangazwa bado

    Kwani kwao suala la Trump linaumhimu gani.
  17. mwa 4

    Kampuni ya rifaro imekufa

    Ubishi mbaya sana kunajamaa yangu tumesoma naye nilimwambia kuwa wale ni kama deci tu mpaka alinichukia lakni mpaka mda huu atakumbuka ushauri wangu.
Back
Top Bottom