Search results

  1. J

    Hosea aligeuzia Bunge kibao

    Humu nako kuna watu kazi ni kuwashambulia watu wengine, mtu mmoja (Dilunga) kamshupalia Zitto. Kwani kuchunguzwa ajabu ni nini au ulitaka Zitto asichunguzwe ,we mtu gani husiyeweza kufikilia uchunguzi anaofanya Hosea ni wa kufa na mtu hata kama yeye hataachia kiti lakini huwenda akamtetea mtu...
  2. J

    Maalim Seif Shariff Hamad Aitikisa SMZ

    wachangiaje wengine wana based katika udini badala ya ukweli. matatizo ya uchaguzi yapo mpaka bara na ni njama za chama tawala katika maeneo ambayo hakiungwi mkono.
  3. J

    Fujo la udini Nigeria

    Naona wakristo wa tz wanatukana sana waislamu wa tz! Cha muhimu ni kujiepusha na ushabiki wa kidini usiokuwa na msingi.Ila itakoma yenyewe kama one day ikatokea Tanzania nina uwakika kuhusu hilo naomba allah atuepushe. Always watu ambao wamekutana na matatizo ndio ambao wanayachukia matatizo...
Back
Top Bottom