Search results

  1. Solile

    Ni ipi dawa ya mwanamke gogo ambaye hafanyi kitu mpaka aambiwe

    Yeye mwenyewe unaweza kuta hakufill anavumilia tu
  2. Solile

    Shamba la kukodi linatafutwa

    Ikwiriri hekari 25 pako kwenye bonde la maji.
  3. Solile

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Kaonyesha uwezo wa akili yake inapokomea
  4. Solile

    Wanawake wa Kigoma (Waha) na uvumilivu wa maisha

    Umesahau kusema pia wana uzazi mwingi hatari. Na wengi wanazaa umri mdogo ndio nilichoona.
  5. Solile

    Traffic Police wa Bagamoyo Road wana njaa kali

    BINAFSI JANA MMOJA KANIKAMATA. MAONGEZI MAREFU YA KIJIONGELESHA NIKAWA NIMESHACHOKA NAE NIKAMWAMBIA SIKUELEWI NAOMBA UNIANDIKIE FAINI NIONDOKE MAANA HII NI DAR SIO LAZIMA NIKULIPE HAPA. AKAANZA UNANICHAGHULIA ADHABU YA KUKUPA BASI NIKUFUNGULIE MASHTAKA.
  6. Solile

    Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    Honestly mambo kama hayo ungetegemea kuyaona kwa wadada wa mtaani. Lkn hadi wanaume wenye nyadhifa.....
  7. Solile

    Elections 2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

    Cv yake mie nimeingalia hata siielewi. Design hapo kati kwa miaka kadhaa alikuwa amesimama bila maendeleo ya shule wala kazi. Huenda ndio alikuwa anakariri mistari ya bongo flavor anayoiabudu kuliko mashujaa wetu
  8. Solile

    Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Wewe na mleta mada mnafanana huelewa . Kwanza kumuacha bila usalama kunaweza kuwa ni risk hata kwa wengine wanaomzunguka. Hii haki mnayoitafuta muwe mnaangalia na background zenu.
  9. Solile

    Kama hamtaki nimuoe binti yenu semeni tu, msininyanyase na nimewachoka!

    Hiki tu ulichoandika hapa hakieleweki. Huenda ni sahihi wao kukikisha mtoto wao aangukii kwenye hewa
  10. Solile

    Nyumba chanika 28ml

    Weka ile site plan inamaliza maswali yetu yote
  11. Solile

    Rushwa kitengo cha Pasipoti haitibiki

    Mkoa gani huo ? Honestly mie sikuwahi kujua mtu hapo... All I did is to follow the process... Na nikapata passport yangu ontime kuliko nilivyotegemea. Hiyo ni hapo makao makuu Dsm
  12. Solile

    Natafuta rafiki wa kike

    Tatizo ni nini ? Au dhumuni lako haswa ni nini?
  13. Solile

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Kwa kweli huyo mkeo nimempenda, siku nyingine akikupa ushauri usiuseme mbele za watu
  14. Solile

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Hawa watu, mme mdogo mtu na data wataishi maisha ya shida sana. Namna nzuri ni kuanza maisha yako kivyako . Ndugu mtakutana kwenye sherehe na msiba
  15. Solile

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Pole Sana. Nimejikuta nalia kwa huzuni . Binafsi nakuombea Mungu akupe busara wakati huu mgumu.
  16. Solile

    Bank accounts to be compulsory for all Kenyans over 18 years!

    Acha uongo huu Tena hizo nchi ndio wananchi wote wana accounts na ukifanya kazi yoyote, malipo ni kupitia benk account yako.
  17. Solile

    Je Communication skills inayofundishwa vyuoni kweli inareflect kile kilichokusudiwa?

    Ni vyema sie tumeliona tatizo, wenye ufumbuzi karibuni sana Kuna Prof mmoja wa UDSM( sitaki kumtaja lkn ni mzee mmoja anafundisha hadi hivi vyuo vya Ardhi na MUCHs) siku anatoa intro kwa first year ya commucation skills alisema anafundisha english kwa sababu waliona english bado ni shida sana...
  18. Solile

    Je Communication skills inayofundishwa vyuoni kweli inareflect kile kilichokusudiwa?

    Salamu kwenu Baada ya kumsikiliza mh Livingstone Lusinde akimwaga hotuba yake, kilichoniijia akilini ni kwamba kweli hizi communication skills tunazofundishwa Vyuoni ndio zinapaswa kuwa hivyo. Binafsi nimesoma Ardhi wakati ikiwa uchini ya UDSM na Prof Maarafu wa UDSM alikuwa anafundisha pale lkn...
  19. Solile

    Kumshitaki Mbunge Lusinde kwa matusi aliyomwaga Arumeru

    Jamaa ni boga kabisa, yaani hana heshima kwa akina mama na watoto waliokuwa hapo. mikutano kama hii watu wanaudhuria na wakwe, mama , baba hata nawatoto. alafu yeye kwa ufinyu wa akili zake anapewa mike kumwaga *****
Back
Top Bottom