Search results

  1. F

    Nini dawa ya Rhematoid Arthritis?

    pole sana kwa maumivi upatayo kwa kweli I have z same problem nimemaliza dawa zote cjapata afueni Ila Kama una amini dawa za natural ni bora maana Mimi natumia mdalasini wa unga nusu kijiko cha chai changanya na asali safi weka Tia warm water nusu glass kunywa asyubuhi b4 hujala kitu chochote...
  2. F

    Inatisha!

    Amen
  3. F

    Elections 2010 JK 'alivyofunika' TABORA

    Kisheria ninavyokumbuka wakati mimi nikifanya kazi in 1970s-1980s mtu akifungwa automatically anaachishwa kazi kama alikuwa mfanyakazi labda kwa serikali ya JK mambo waaaahhhhhh ikiwa anampigia debe Lowassa je kwa Rage is ok for them..... what a shame!!!!! Bora CCM waondoke tumeshachoka nao...
  4. F

    Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

    Yetu macho tunasubiri changes ndio muhimu
  5. F

    Elections 2010 JK - Ni matusi kudai sijali wafanyakazi!!! Mh!

    Kweli kabisa maneno yako "mfa maji haachi kutapatapa" mimi nilikuwa mfanyakazi zamani nawaungeni mkono kuwa msimamo wenu huo huo mpeni kura mwenye imani na uchungu wa wafanyakazi sio propaganda kama za msanii wetu na dharau kubwa na kejeli hana lolote
  6. F

    Zanzibar Wants Union Constitution Overhauled

    Bravo Mwiba i likeyour points keep it
  7. F

    The road towards 2010 Elections

    Dr. Slaa is the best choice for 2010 president - he is serious, hataki upuuzi na uchungu wa nchi na watu wake. Bravo Dr. Slaa
  8. F

    Raisi Kikwete agawa noti, Salma Kikwete agawa noti! Siyo Rushwa hii?

    Duh aibu!!!! Sh.500/-????? yote ni dharau tena hali ya juu hata aibu hana shs.500 hata pipi hupati.
  9. F

    Do You Know why Zanzibar will never be at peace?

    what goes around comes around. kila aliye changia kwa njia hii au nyengine insha-Allah Mw. Mungu atalipa hapa hapa duniani akhera kwenda hesabu Amen duh hatari jamani tusiombe yatokee tena mwaka huu 2010!!!!!!!!
  10. F

    Aibu ya Tanzania yaanikwa uwani

    Eh moyo unaniuma, damu inanichemka kuona akina mama wenzetu wanavyopata tabu. Mungu tunakuomba msaada wako kwa kila jambo Amin It's a shame kwa serikali yetu kwa mambo kama haya. Mimi huwa nashangaa na kujiuliza hivi hawa viongozi wa serikali wanapofanya ziara kwenda nchi za wenzetu na...
  11. F

    SIM-Card Registration Now Viewed As Spying Move

    Very true for security purpose not for politics
  12. F

    Matokeo ya Maalim Seif Kumtambua Karume

    Insha-Allah kheri tunayo omba kila siku kwa Mola wetu lakini wasiwasi wangu jee hawa CCM na SMZ ni wa kweli? Isiwe yale yaleeeee ya kina Makamba changa la macho!!!!!! kwa msemo mwengine kuchezwa shere!!!!! Kwa kweli vita c vizuri tukiangalia sote ni ndugu
  13. F

    Jeetu Patel akana madai ya Waziri Sophia Simba kuhusu mgao ;Aomba aache mipasho

    Kweli 2mechoka kuckia habari za Sophia Simba, Mafisadi etc. - 2nataka kuckia vp mabadiliko ya Tanzania ye2 njema yatapatikana. Nchi za wenze2 zinaendelea kwa kushikamana ye2 ni kupashana na kuiba aaaaagh 2mechoka 2nataka mabadiliko na maisha mema kwa nchi ye2 na vizazi vye2
  14. F

    Kula huku kula gani?

    Hongera Mwanakiji na wengine wote kwa kweli shairi yenu ni mazuuri kusoma na yana ukweli ndani yake. Mapambano continua. Watz can make changes - yes we can
Back
Top Bottom