Ukiangalia desk au dawati la nyuma la magufuli 99% ni watu wa usalama, kwa hiyo hayuko peke yake na pande nyingingine watu wa usalama wamejichanganya na waumini
Ans: mkuu ingingiza kwenye google search engine/ you tube hili swali" ERROR RETRIEVING INFORMATION FROM SERVER.(RPC:S-7: AEC-7 MAQ4-ORVH-ESG4Y" ita kudirect on how to solve it with a video aid showing you step by step. Success.
Lakini wabongo tunapenda mambo ya kudakia dakia bila kufuatilia kilicho-ongewa kwenye hotuba, mambo ya lyatonga, mapokezi ya mwili wa marehemu nyerere, hayahusiana na tamko katika hotuba, amesema katika viongozi wa mataifa ya kigeni!! Hebu sikiliza kwa makini hiyo hotuba mkuu.., take it easy!
Wana JF, Kwa yeyote yule anayefahamu lawyer au advocate offices za utetezi hususan waliobobea kwenye sheria za utoaji Ardhi/ viwanja.
Nitashukuru sana, maana nataka kudhulumiwa kiwanja changu.
Mkuu hapo unaenda mbali...ukumbuke Rais ni binadamu kama wewe ana imani yake na wageni wake, na sherehe zake, kama misingi ya sheria inamruhusu kufanya hayo..kuna tatizo gani?
Jaribu kufanya utafiti wa kina kabla hujakurupuka kuandika story/habari ambazo hazina maana...kwa short thinking zako zimekutuma kuandika vitu visivyo na mantiki...watu walioenda asilimia kubwa ni kihali, na kuna wengi ambao wametoka kwenye familia za kawaida kabisa, wanaishi ,kusoma na kufanya...
Carbohydates, inajenga mwili na kuongeza nguvu, kwa kutengeneza energy ya mwili..na carbohydrates,inapatikana kwenye vyakula vya wanga,sukari n.k...maize meal is excellent energy provider, husaidia sana shughuli zote zinazohitaji nguvu..
....nguvu kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.