Search results

  1. J

    Sijui kama unajua au hujui kuwa sensa imefeli

    Ipo haja ya serikali kufanya sensa kupitia serikali za mitaa. naamini kila mtanzania ana serikali yake ya mtaa. watendaji na wajumbe kwenye serikali za mitaa kupitia ishu kama hizi ndio nao wapate kipato kwani hawana ujira. na wanapofanya sensa kama hii wabakie na takwimu za watu katika mitaa...
  2. J

    maajabu ya udsm

    inaonyesha hatujui tatizo la nchi yetu liko wapi udsm haihusiki hata kidogo tatizo ni tumeunda uongozi wa nchi kwa kuweka mihimili mitatu ya uongozi. bila kujua au kwa kujua tukaiua mihimili miwili ambayo ni bunge na mahakama kwa kuifanya kama taasisi ndani ya mhimili mmoja ambao ni serikali...
  3. J

    Jarida La Kuelekea Tanzania mpya

    tunapokea na mawazo ya kuboresha
  4. J

    Jarida La Kuelekea Tanzania mpya

    nina wazo la kuanzisha jalida linaloitwa "kuelekea tanzania mpya" kwa ajili ya kuibua changamoto za kisiasa na kiuchumi tanzania ili zijadiliwe. tayari nimeandaa toleo namba moja ambalo linachambua bunge la jamhuri ya muungano kwa kuangalia bunge lilivyo dhaifu kama kuendesha mijadala kwa mfumo...
  5. J

    Tuhuma za mh. Lissu dhidi ya majaji zifanyiwe uchunguzi wa kina

    Jamani hii ndio sera yetu Tanzania ya mfumo holela hakuna mahali kunatendeka usawa, hata wanaolalamika mkiwapa nafasi watafanya hayohayo, sina maana ya kutetea serikali bali ninasema katiba mpya tuunde taasisi za juu kila moja imara hasa bunge likiwa imara likasimamia serikali tutapunguza...
  6. J

    Barabara za Juu kwa Juu kweli ni kwa ajili ya kupunguza msongamano?

    Nchi haina wachumi mimi ingawa kitaaluma ni mhandisi lakini sina budi sasa kuomba kazi ya kuishauri serikali kiuchumi. maendleo hayakimbiliwi bali unatengeneza mfumo yanakuja yenyewe. ni wapi mmeona barabara za juu zinapita kwenye makazi kama ya manzase , magomeni, ili kupata kibarua hiki...
  7. J

    Wabunge CCM Wataka Rais Ahojiwe Bungeni

    kUMHOJI RAISI HAKUNA MANTIKI KWA MFUMO WETU W UONGOZI KWA MUJIBU WA KATIBA WAZIRI MKUU NDIO MTENDAJI MKUU WA SHUGHULI ZA SERIKALI HIVYO CHA KUFANYA NI KUTAMBUA RAISI NI KIONGOZI WA KUCHAGULIWA, TUMUACHE AFANYE KAZI ZA KUHAMASISHA, KUJENGA UHUSIANO KUTOA MAAMUZI YA MWISHO YASIYO YA KUKURUPUKA...
  8. J

    Bunge Linapojadili Maoni ya Kambi ya Upinzani Badala ya Budget ya Serikali: Inaashiria nini?

    suluhisho katiba mpya jamani tuondoe makambi bungeni. bunge tulifanye moja kusimamia seriakali. na kuishairi. bunge lisifanywe sehemu ya kufanyia ubishi wa kisiasa bali ni chombo muhimu kwa kusimamia serikali. utashangaa waziri anaenda kusaini mkataba wa madini uingereza wanaelezwa wananyamaza...
  9. J

    Jiji la Dar es salaam litakavyokuwa baada ya miaka mitatu ijayo.

    Haya ndiyo yanayodidimiza uchumi wetu hizo picha zinavutia ila baada ya ujenzi utashangaa maana mimi niliona pendekezo la mlimani city kwenye picha ila baada ya kujenga huwa najiuliza hivi hapa ndio tulidhani ni new city ndani ya dar. Ukweli haya tunafanya ni kujinyonga kiuchumi. Niulize kwa...
  10. J

    Mtei akoleza moto wa Mnyika

    nidhamu ya woga wetu watanzania ndio unaotudumaza kimaendeleo. mimi nampongeza mnyika kwa kuwa na msimamo katika alilolisema, watanzania waliowengi hawasemi yale wanayoamini moyoni bali wanasema yale wakubwa wanayotaka kusikia. mfano ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa...
  11. J

    Kwa Wanasiasa: Kwanini tunauziwa viwanja bei ghali 2-8mil kwa bei ya serkali?

    hapa serikali inatakiwa iangalie kwa makini Miji yetu inavurugika kwa fikra potofu za waliopewa dhamana. hivi ukiangalia jiji kama dar es salaam inasikitisha. nenda maeneo kama buguruni kwa ndani nyumba zinasikitisha, nenda magomeni nyumba za ajabu mikocheni ukipita barabara kuu unadhani ni jiji...
  12. J

    Tafadhali Wabunge wetu, ACHENI KULALAMIKIA bajeti timizeni wajibu wenu!

    Jamani wabunge wanaosema wako sahihi kabisa na mimi nawapongeza, kikatiba bunge ndio chombo kikuu cha maamuzi nchini na ndicho chenye dhamana ya kusimamia na kushauri serikali. Lakini kwa mda mrefu kimepokonywa madaraka haya na serikali imejiweka juu ya bunge na kupuuza madaraka ya bunge. Hivyo...
  13. J

    Tafadhali Wabunge wetu, ACHENI KULALAMIKIA bajeti timizeni wajibu wenu!

    Jamani wabunge wanaosema wako sahihi kabisa na mimi nawapongeza, kikatiba bunge ndio chombo kikuu cha maamuzi nchini na ndicho chenye dhamana ya kusimamia na kushauri serikali. Lakini kwa mda mrefu kimepokonywa madaraka haya na serikali imejiweka juu ya bunge na kupuuza serikali. Hivyo...
  14. J

    Mawaziri 6 sasa mikononi mwa TAKUKURU!

    kitendo cha kuwakabidhi takukuru tayari hawana kesi maana kimsingi hawa wengi hawakula hela hizi bali ni wazembe hawasimamii wizara zao. ushahidi wa kutafutwa na takukuru sioni bali wao ni uzembe na ripoti bila shaka ripoti ilisema kwa kila upotevu mhusika ni nani. binafsi nimesikitika kwa...
  15. J

    MDAHALO: Kikwete akivunja baraza la mawaziri atathibitisha udhaifu wake

    raisi wa kwanza mzuri katika zama hizi ni yule atakayetuwekea mfumo mzuri. hata raisi awe mzuri kiasi gani mfumo wetu ni mbovu. ila kikwete anayo nafasi ya kuwa raisi wa historia kwa kutuwekea mfumo kupitia katiba mpya. akivunja atamuweka nani? ambaye anauhakika atafanya kazi vizuri. tuko na...
  16. J

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    ni aibu kwa elimu ya tanzania, ni aibu kwa chuo kikuu kuwa na msomi of this kind. inawezekana watanzania kwa mifumo yetu ya elimu maswala yasiyo na madesa ndiyo majibu yetu. labda kuna kosa la mwandishi maana haya ni maneno mtu anaongea na mwandishi anachagua ya kuandika. kazi ya bunge ni...
  17. J

    Uchaguzi Zanzibar itakuwaje 2010?

    Mk umeeleza vyema kuwa Taifa hili ni la Watanzania wote sasa nashangaa ulivyomalizia Tanzania haikamiliki kwa kuongeza hao watu wawili uliowataja kwenye listi bali tunaweza kuwajumuisha watanzania tukibainisha sifa za mtu anayefaa na sio kutaja majina kwani hatuwezi kuwataja watanzania...
  18. J

    Uchaguzi Zanzibar itakuwaje 2010?

    Ni wakati watanzania tubadilike maana sijui ni kigezo gani kinatumika hapa. Je hoja ni nani anaweza kuipeleka Zanzibar mbele au ni nani Mzanzibari "popular". Naomba ninukuu msemo wa mtaalamu wetu wa mpira kuwa "some people are very popular outside the pitch but in the pitch nothing" the same...
  19. J

    Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

    Labda watu mlio katika nchi zilizoendelea tusaidieni maana sheria katika nchi yetu iko chini hivi katika hali kama hii kweli hakuna sheria inayoweza kuwasaidia hawa vijana kuipeleka serikali ya Tanzania mahakamani kudai fidia. nafikiri kabla ya kwenda Ukraine walisaini fomu fulani ambazo...
  20. J

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Hizi mimi naona ni tuhuma sababu habari niliyoisoma hapa sijaoneka uthibitisho wa tuhuma hizo. unajua kwa kumbu kumbu zangu wakati Amina anaolewa na huyu jamaa, amina kwanza alikuwa mdogo, pili uwezo wa kifedha wa bwana inaweza kuwa ndio chanzo cha ndoa yao. Hivyo kama tuhuma hizi ni za kweli...
Back
Top Bottom