Search results

  1. M

    Msaada: Kwenye Ajira portal nimejaza bado inasoma 92% completed. Ni nini tatizo?

    mimi ninachokifahamu ukifikisha kuanzia asilimia 70 unaitwa kwenye saili zao kama una sifa za nafasi ya kazi husika. ila pia kama kuna changamoto inakukatiza unaweza kuwapigia simu zao za mikononi wamekuwa wakizitangaza mara kadhaa, au kuwatembelea pale maktaba kuu ya taifa gorofa ya pili wako...
  2. M

    Maneno aliyoniambia mama siku naoa

    barikiwa katika ndoa yenu daima msitindikiwe, mama hongera kwa busara ulizozitoa kwa mwanao Mungu akujalie maisha marefu uone na vitukuu.
  3. M

    Nakupenda sana mke wangu (miaka 3 katika ndoa)

    hongera sana kaka, najua kwa post hii wapo tutakaokupongeza wapo watakaokudhihaki na kukukatisha tamaa, ila usiache kumpenda mkeo zaidi na zaidi kumtanguliza Mungu ili azidi kuwaimarisha katika ndoa yenu leo mmetimiza miaka mitatu Mungu awatangulie msherehekee miaka 75 ya ndoa. hongereni sana sana.
  4. M

    Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    ukiona mtu mwenye mawazo haya sio muoaji hivyo mwache apambane na hali yake.
  5. M

    Tume ya ajira makosa haya ni bahati mbaya au mlidhamiria??

    jamani huo usaili wa TRA kwa kada zote zilifanyika katika maeneo tofauti nchi nzima kwa kanda kama ratiba yao ilivyoonyesha kama mimi ni miongoni mwa niliofanya huo usaili tena niliitwa nafasi tatu tofauti na niliziomba zote na mimi sehemu niliyofanyia walitupa maelezo kwanini usaili unashindwa...
  6. M

    Napenda kuwapongeza sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma wa mabadiliko

    Baadhi ya watanzania tuna matatizo ya kupenda kusema, kuandika pasipo kufanya utafiti sasa kosa langu lipi la kuamua kuipongeza Sekretarieti ya Ajira na nimetoa sababu zangu za kuipongeza nashukuru wapo walioipongeza na hoja zao na wapo waliotoa maoni yao hasi kwa hoja sasa kweli mtu umeandika...
  7. M

    Napenda kuwapongeza sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma wa mabadiliko

    Nimefikia hatua hii kwakuwa nimeona mabadiliko makubwa sana tangu kusitishwa kwa ajira na hivi sasa vibali vilipoanza kutolewa na serikali kwa ajili ya kuajiriwa watumishi wapya ndani ya utumishi wa umma kwa ujumla. Hivi sasa tangazo la kazi likitoka hawakai nayo tena yaani baada ya wiki tatu...
  8. M

    Kwa wale waliositishiwa ajira zao mwezi may 2016

    acha kucheza na maisha ya watu usitafute umaarufu kwa njia hii, Serikali ina taratibu zake za kuwasiliana na Umma kwa taarifa nzito kama hii sio kwa kuandika kwa kukurupuka kwako uwe makini haya ni maisha na usipende kucheza na vitu vya Serikali kwa kuvitolea maneno usiyokuwa na uhakika nayo...
  9. M

    Hongera Serikali kwa kuamua kufanya uhakiki wa vyeti vya walimu na watumishi wa umma

    jamani tusipotoshane hili zoezi la uhakiki wa vyeti ni la watumishi wote wa umma na si walimu pekeyao na ni vyema tukajijengea utaratibu wa kuuliza au kusubiri mamlaka zenye dhamana ya jambo fulani zikatoa ufafanuzi kuliko kuandika uongo haipendezi machoni na rohoni mtu mzima kuandika ama...
  10. M

    Ndoa inaelekea kunishinda, nashindwa kumudu majukumu ya ofisini na nyumbani

    Happy awali ya yote napenda kukupa pole kwa changamoto unazozipitia, maana inaonyesha umeandika hapa kupata mawazo/ushauri ila umeandika ukiwa umekwazika jambo rohoni mwako ndio maana umefikia hatia ya kumwita shemeji (lijitu). mpenzi ndoa ndio maana ikaitwa ndoa, na ndio sababu ni sehemu pekee...
  11. M

    Natafuta msaidizi wa kazi za ndani

    Amina kaka kila lakheri.
  12. M

    Natafuta msaidizi wa kazi za ndani

    umeshapata msichana unayeuhitaji, maana mimi ninae anayeweza kufanya kazi ila umri ni zaidi ya huyo unayemtaka.
  13. M

    shortlist ya PPRA nimependa kweli

    mtoa mada hajajipanga, maana anapogeza na kuwaambia utumishi waige PPRA wakati kazi ya shortilist hiyo imefanywa na haohao utumishi? hata kama huwapendi utumishi wape sifa zao pale inapobidi
  14. M

    Vyeti feki 1,035 vyakamatwa kwa waombaji wa kazi Nchini

    jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hatua ya kwanza waliyochukua ni kuwazuia kuingia katika utumishi wa umma na hatua nyingine ni kuwasiliana na mamlaka husika ambapo watuhumiwa wamedai kuvipata, maana wao ndio sheria yao natoka hadi namba ya kumwadhibu aliyegushi ili waweza kuchukua...
  15. M

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Tulikupenda Dr Masau ila Mungu alikupenda zaidi. tunakuombea Mola akulaze mahali pema peponi na kukupa tuzo unayostahili kwa yale mema mengi uliyoweza kuyafanya kwetu wanyonge na akusamehe kwa yale machache uliyoteleza na kukupumzisha mahali pema peponi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la...
  16. M

    Utumishi mnaboa sana usaili wa tarehe 8 dec

    wadau eee wenye namba hizi ndio waliochaguliwa kwa kada ya Afisa Utumishi kama nilivyoyakuta kwenye link yao kama ujajiona hapa ujue hujachaguliwa japo wao wametoa matokeo yote ila mimi nimeweka ya waliofaulu tu kwa kada ya HRO MATOKEO YA MTIHANI WA MCHUJO ULIOFANYIKA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA...
  17. M

    Utumishi mnaboa sana usaili wa tarehe 8 dec

    mbona matokeo yako hewani ndugu
  18. M

    Sekretarieti Ya Ajira Na Filamu Ya "The Long Wait",,,,,!

    Kama mtu hujapata huenda anwani uliyoacha haikuwa sahihi ila barua zimetumwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni• Mbona hata mie nimepata barua ya kazi kwa njia ya posta• Ila kuna washkaji zangu wao waliamua kwenda ofcn kwao na vitambulisho wamepewa barua kuja posta wanakuta barua zimefika•
Back
Top Bottom