Search results

  1. Emma Lukosi

    Frem Mbili Sokoine drive zinapangishwa, near Bandari road

    mkuu wapi palipoandikwa kurasini?. bandari inaanzia posta ya zamani. Btw hizi ziko sokoine drive ni barabara ya kuelekea railway station au waterfront. kama ulikua unahitaji fremu kwa ajili ya biashara karibu.
  2. Emma Lukosi

    Frem Mbili Sokoine drive zinapangishwa, near Bandari road

    Kwa nini kwa nini isingekua milioni?
  3. Emma Lukosi

    Frem Mbili Sokoine drive zinapangishwa, near Bandari road

    Hakuna shida Kiongozi karibu.
  4. Emma Lukosi

    Frem Mbili Sokoine drive zinapangishwa, near Bandari road

    Fremu kama zinavyoonekana hapo kwenye picha Eneo ni zuri kwa office, au biashara nyingine. opposite ni bandari ndogo. Bei ni NEGOTIABLE. 0713338342
  5. Emma Lukosi

    Mfanyabiashara aua mpita njia kwa risasi

    We jamaa wewe!. Kweli .......... mzigo.
  6. Emma Lukosi

    Hivi mnaoendaga kwenye show za miziki ya kibongo mnafaidi nini hasa ?

    Piga keleeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee :A S-rap:
  7. Emma Lukosi

    Zitto aonyesha vitabu anavyosoma

    Shule zikufunguliwa hakikisha hukosi kipindi cha English.
  8. Emma Lukosi

    Zinauzwa Desktop 2 complete

    weka mawasiliano achana na habari za pm, btw mi Nina 100.
  9. Emma Lukosi

    Epson T50 Printer inauzwa

    printer ni nzuri ila tatizo ni rocation.
  10. Emma Lukosi

    Kilimo cha fenesi, changamoto na jinsi ya kukabiliana nazo

    sao sijui Masao Bwire nae itakua ndio maana yake hiyo?.
  11. Emma Lukosi

    Natafuta adapter ya Laptop HP

    kipini kidogo au ile yenye pini kubwa?.
  12. Emma Lukosi

    Mdaada Fray Luis Amigo Secondary School Kigamboni

    mkuu naifahamu hiyo should ziko kigamboni tungi kwa masista au tungi soko maziwa. namba ya mwalimu ninayo ila nashindwa kukupa kwa sababu maelezo yako hayajitoshelezi mkuu.
  13. Emma Lukosi

    Mwenye namba za madalali Mtoni Kijichi

    kuna nyumba inauzwa mkuu, iko mbele ya neluka sec mtaa wa masangula. nichek watsapp kwa pic and more details 0713338342
  14. Emma Lukosi

    Mawazo duni ya familia zetu ndio chanzo cha kutoendelea.. Tanzania majungu tu

    mkuu kulikua hakuna haka ya kuwaponda wasomi. labda hutambui michango ya wasomi kwenye Tania nzima ya sanaa na maisha ki ujumla. diamond au kusaga wanapoumwa watahitaji kutibiwa, nani atawatibu kama sio madaktsri wasomi?. akina ruge na bwana diamond watakapo hitaji kusafiri watahitaji...
  15. Emma Lukosi

    Canon ir2018 for sale

    Kwa hiyo TIARAHEYI Humu jamii forums wanavitambulisho, au huko PIEMU hawafiki?!. :smile-big: Bongo Raha jamani, kila sehemu ni komedi tu.
  16. Emma Lukosi

    Asali mbichi ni nzuri kwa afya yako

    Asali bado inapatikana kwa wingi jamani
  17. Emma Lukosi

    Asali mbichi ni nzuri kwa afya yako

    Habari za kazi wana bodi, Napenda kuwapa habari njema kwa wale wote ambao hawapendi ama hawawezi kutumia sukari Kuwa asali mbichi na original kutoka Tabora, inapatakina katika kiwango cha hali ya juu. Ukiagiza asali kutoka kwangu unaletewa hadi mlangoni kwako kwa wale walio maeneo ya mjini Dar...
  18. Emma Lukosi

    Blogs: Building Your Online Presence

    "Blogs has the ability to loan people’s time and attention by putting readers at the heart of the solution". kuna blog za aina tofauti kulingana na budget yako Kuna self hosted na zile ambazo ni free hosted mfano free hosted ni zile zinazoishia na .blogspot.com na self hosted ni zile za...
Back
Top Bottom