Search results

  1. House of Commons

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    SHida kusalitiwa ni kupata makovu moyoni na si rahisi kujenga imani tena. Samehe kwa faida ya watoto. Mungu akutie nguvu sana
  2. House of Commons

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Miezi 6 huna mke, iwapo wewe binafsi hujawahi kumsaliti ukiwa kwa kipindi hicho muache, kama umeshawahi kukutana na mchepuko huko, msamehe
  3. House of Commons

    Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

    Ukipiga picha umechuchumaa figure zinaongezeka¿
  4. House of Commons

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Akiniuliza hivo mwanamke, nitamuuliza iwapo ATASHUGHULIKA NA KAZI YANGU, Namjib please, deal with me, not my occupation, basi..
  5. House of Commons

    Kuleni mapema msije mkalala njaa

    Wewe na mimi hatuchezi, ila hizo ramli sio, ok..we start with you, the we come again
  6. House of Commons

    Namchukia sana Mama yangu

    Msamehe, msamehe Mungu akutendee. Usilipe ubaya, msamehe
  7. House of Commons

    Hivi kauli ya nchi kuuzwa ni porojo za kisiasa au ni kweli kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa? Wanasheria embu tusaidieni

    This happens by "implication" this means, nchi itabidi iingie mikataba ya mbalimbali inayowezesha unyonyaji wa kutosha unao iwezesha nchi mdeni kuhamisha mali. Mikataba inakuwa haina mutuality, mikataba miaka 99 nk. Hii sio nadharia, it is now pratical, kwa sababu mdeni anapewa advantage of lion...
  8. House of Commons

    Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Unamsifia Rais haraf unaleta mada ya kitoto vile, ausee, huyo Rais tumebebesha mizigo kwel kwel
  9. House of Commons

    Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

    What is a problem? Ametoa mawazo yake, amemaliza, kama hujapenda, endelea na shughuli nyingine, mbpna unakakamaa hivo bro, just skip the thread and go away
  10. House of Commons

    Yanga na Simba, Kumbukeni hii ni knockout stage na nyie ni madaraja

    Ukiwa mpenzi wa Simba au Yanga, kwa hatua hii waliofikia naona ni ujinga tu kuendeleza ushabiki wa club, let us encourage them. Mi ni shabiki wa Simba, Yanga anapokuwa anacheza kimataifa huwa sion hata haja ya kumtakia afungwe, maana anaibeba nchi na sio mashabiki na wanachama wake
  11. House of Commons

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Makubaliano ya mwanzo kabisa ya mwanamme na mwanamke kuishi pamoja kama mme na mke yana msingi sana, yakivunjwa na mmojawapo kwa hira tegemea laana na karma Inaonyesha una vigezo vyako kwa mwanamke anayekufaa na hapo umeona huyo hajakidhi. Wengi wanaweka vipaumbele vya umbile na sura kama...
  12. House of Commons

    Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Siku ya pentekoste mitume alinena kwa lugha gan? Walizitoa wapi hizo lugha?
  13. House of Commons

    Match ya Simba Vs Ahly ni kama Match ya Aseno Vs Bayern Na match ya Yanga Vs Mamelodi Ni kama Match ya Man City vs Madrid

    Majigambo ya mtu binafsi kwenye timu tafasri yake ngumu sana. Kuna member mmoja humu alitamba kutembea uchi iwapo simba atamfunga Widad, sina uhakika kama alifanya hivo. Nadhan hizi huwa ni bange tu
  14. House of Commons

    Napenda Simba ila Simba iki-draw au kushinda nipigwe ban JF

    Uzuri ni kwamba huna chochote utakachofanya uwanjani, umeleta maneno tu tena ya kipumbav
  15. House of Commons

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    Wewe kula unachotaka, haipo sheria inakuzuia, yaan kula hata mavi, hutakuwa na hatia. Usitweze chakyla ambacho wengine wanakithamini. Kwanza hii sio hoja, labda umekosa kazi ya kufanya
  16. House of Commons

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    JE kula chips?? Nadhan wewe ni kizazi kipya, acha watu wale chakul wanachokipenda
  17. House of Commons

    Hali tete Simba, Percy Tau na Dieng warejea uwanjani

    Kwani kwenye AFL hawakuwepo??
  18. House of Commons

    Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi, in amaana gani?

    Plate number nyeupe ninavofam ni gari la kibiashara, hii mojawapo ya jibu, kazi nyingine sifaham
  19. House of Commons

    Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

    Nimekaa jiji moja hapa nchini miaka 16, ni kazi za ofisini tu zilizoniokoa kimaisha, sasa niko kijijin 100% mpaka nalaum mbona nilichelewa kwenda huko. Ninafanya vizuri zaidi na bado kazi ofisini huko mjini nafanya vema tu. Mjini sio pa kukimbilia kama huna shughuli maridhawa, utaishia kuishi...
Back
Top Bottom