Search results

  1. K

    Mwenezi Makonda Amtimua Mkurugenzi wa Nkasi Kwenye Mkutano Baada ya Wananchi Kumlalamikia

    Hi unadhani Makonda anakurupuka lazima kuna unressolved key issues wengi wanazijua sasa yeye kwa level yake ndio asiwe na clues
  2. K

    Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

    Mkuu mandate imebadilika baada ya SADC deployment ya SA, TZ na Malawi forces sana ni offensive sio piece protection
  3. K

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    JF siku hizi hakuna critical thinkers hivi tatizo ni wafanya kazi wa Tanesco au powerfull external interests zinazonufaika na hii crisis za electricity shortages
  4. K

    e-GA inahujumiwa

    Gvt naipongeza sana kwa hii move hongera wazri Nape pamoja na kuwa business licence ya NMB ni Banking lakini digitization ktk most Banks ni very advanced na efficiencies na effective yake ni ya hali ya juu sana kuliko ktk taasisi za Gvt. Ktk Banking kuanzia wateja wakubwa Corporate and...
  5. K

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Hivi sisi watz investment ktk football tunategemea kupata matokeo mazuri hicho kitu hakipo tusilaunu wachezaji makocha uwekezaji wa long and medium terms huko chini sana angalia kocha kama wa Zambia aliwahi kuwa kocha wa Chelsea hawa akina Mgunda tunawaonea tu
  6. K

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Huyu kocha sio mzuri sasa nimemuelewa Karia kwanini hakuwatoa players waliokuwa na risks za red cards mapema Pili pamoja na kuwa Samatta hakuwa ktk kiwango kizuri alitakiwa acheze 99 minutes sababu alikuwa anakabwa na wachezaji wawili. Huyu aondoke Hafai kabisa
  7. K

    FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    Simba timu yetu tatizo sio makocha wachezaji wengi viwango vya chini mpaka awepo Chama ndio timu inakuwa na chemistry
  8. K

    Siamini kama bwawa la "stigler gorge" litamaliza tatizo la mgao wa umeme nchini

    Ni ukweli ulio wazi ingawa JPM alifanya jambo zuri sana kuanzisha na kutekeleza mradi huu mkubwa ambao utasaidia sana iwapo hakuta kuwa na upungufu wa mvua. Lakini Dunia ya sasa inakabiliwa na tatizo kubwa sana la Climate change sababu ya kuongezeka kwa hewa ya ukaa ambayo inapunguza ozone...
  9. K

    Deni la Marekani ni $34 trillioni

    Mkuu fanya utafiti kwanza ingawa deni la USA ni kubwa kuliko GDP yake lakini still kuna mataifa mengi yana hali mbaya sana kuliko USA. Funding of wars across the world ndio imechangia kiasi kikubwa.
  10. K

    Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

    Kweli watu wanahitaji elimu sana kwenye lishe bora, siku hizi vyakula vingi tunavyotumia sio balanced diet. Mijini imekuwa fashion siku hizi kuku wa kukaanga na mishikazi ya kukaanga na chips mafuta yanayotumika pamoja na kuwa low quality yanakuwa overused mpaka yanakuwa meusi sana. Haina ya...
  11. K

    Internship (Manamba) mashambani Israel?

    Concept ya intern hata TZ inatumika sana maelfu ya vijana wanaingia maofisini temporary hata kijana wetu akienda nchi nyingine akakutana na huu mchakato kuna ubaya gani akipitia basic mandatory military training kama JKT na Gvt inajua na akirudi nyumbani anakuwa multi skills na kulinda nchi yake...
  12. K

    TRA yaweka rekodi ya karne, yakusanya Trilioni tatu kwa mwezi Desemba Pekee

    Nilisoma kuwa D P World wataanza kuset up mifumo yao tarehe 1st November 2023 ndio hiyo imeanza kujibu mapema alignment ya TRA na Port ktk number ina reconcile kama hi ndivyo Kongole Samia SH
  13. K

    TRA yaweka rekodi ya karne, yakusanya Trilioni tatu kwa mwezi Desemba Pekee

    Tax to GDP percentage bado tuko kwenye 11% wakati South Africa, Botswana, Namibia wako 20% inabidi tuzidi kuboresha efficiency ni mwendelezo mzuri so far Kongole TRA
  14. K

    Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

    Tanesco na upungufu wa umeme Tanzania ni kero kubwa sana. Nchi sijui inazalisha megawatt 1700 wakati kenya na Zambia zinazalisha around 3000. Na nchi nyingine ndogo Africa zinatekeleza project za kuzalisha above 10,000 megawatts. Tuna vyanzo vingi vya umeme geothermal Wind Solar Uranium gas...
  15. K

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Simba wasajili January hakuna timu hapo
  16. K

    Uvamizi wa Hamas ni "false flag" ya Mossad au ni "failure"

    Nionavyo sio rahisi kihivyo kwa external intelligence ya Israel Mossad kuwa na massive failure kama hii. Shambulio hili limefanywa na wapigaji wengi equipment nyingi Mosad na CIA wana agents wao almost to all of their top enemies. Kuna jambo ambalo ni lengo lao kuu wanataka kulitimiza...
  17. K

    CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Hayo maCV wenzenu waliacha muda mrefu kuyaangalia wanafocus kwenye uwezo wakufanya kazi tu na uzoefu tena hapa ndio kuna uchakuaji mkubwa wa vyeti
  18. K

    Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

    Watanzania uwezo ni mdogo mdogo sana wa kufanya tafiti hata ndogo ndogo na kujua nini kinaendeles kwa biggest oil producers na other key players ktk oil wanalaumu na kutukana wasio na makosa. Hii scenario ya world recession iliandikwa sana mwaka jana kwenye international na some local media...
  19. K

    Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

    Sio kosa lake alikuwa bodaboda majuzi tu anajisahau kama anawahi abiria
Back
Top Bottom