Search results

  1. K

    Manyerere: Bila kudhibiti Asasi za Kiraia(NGOs), Loliondo haitatulia

    Jackton Manyerere na style yake ya kuandika ni HATARI kwa TAIFA.....HAFAI.....Manyerere takribani miaka mingi sasa amekuwa akiandika makala nyingi sana kuhusu sakata la LOLIONDO....cha kushangaza ni kwamba kila wakati maandishi yake ni kubeba na kuisifia kampuni ya OBC.....Manyerere yeye hajui...
  2. K

    Spika Makinda acha kudharau Watanzania

    Mh. MAKINDA NA NDUGAI wameonyesha upeo mdogo katika kufanya maamuzi ya misingi kwa kutoa miongozo iyonatija kwa kuipendelea CCM na serikali bila kujua kwamba hujuma hizi zinawalenga na kuwaumiza watanzani wengi.....Halafu Makinda alitumia jina la WATANZANIA VIBAYA....eti kwamba kusema kitendo...
  3. K

    Spika Makinda acha kudharau Watanzania

    Makinda -(MB) analiabisha sana Bunge....na wa mama wenyewe umri kama wake kwa kuliendesha bunge vibaya kuliko kawaida.....Mkinda amedhalilisha hadhi ya BUNGE ......BUNGE wakati wa Mh. SITA kwa kweli hadhi yake ilikuwa juu sana kuliko ilivyosasa....Mh. Ndugai ndiye kabisa ameshindwa kuliendesha...
  4. K

    Mbunge na Madiwani kujiuzulu Ngorongoro

    Manyerere Jackton Shukurani kwa kutoa habari ndefu na cha kina sasa baada ya kusoma makala yao kuna maswala kadhaa za kuyatolea majibu zaidi ili kuweza kufanya wasomaji wako waelewe unachokisemea... 1. Je wewe unapenda Mazingira na uhifadhi zaidi wanyama pori zaidi kuliko watu ? ( Tumeona...
  5. K

    Zitto ampongeza Rais kwa kuwarudisha kwenye Baraza Jipya la Mawaziri Mkuchika na Magembe!

    Allah, huyu katumwa nini.....nani kataja mambo ya ukristu hapa........peleka udini wako kwenu....
  6. K

    Zitto ampongeza Rais kwa kuwarudisha kwenye Baraza Jipya la Mawaziri Mkuchika na Magembe!

    Soma magazeti a day baada ya kuampishwa mawaziri.....I thought all of us a keep......precisely Mwananchi a day baada ya Mawaziri kutajwa....
  7. K

    Zitto ampongeza Rais kwa kuwarudisha kwenye Baraza Jipya la Mawaziri Mkuchika na Magembe!

    Kweli kwenye misafara ya watu pia KENGE wapo....... discussions kama hizi sio mzaha wewe......keep your words to your wife au husband if you have one.....
  8. K

    Zitto ampongeza Rais kwa kuwarudisha kwenye Baraza Jipya la Mawaziri Mkuchika na Magembe!

    Sawa....wewe jadili ulichokielewa .....hizo zingine waachie wengine utazielewa tu siku nyingine
  9. K

    Zitto ampongeza Rais kwa kuwarudisha kwenye Baraza Jipya la Mawaziri Mkuchika na Magembe!

    Wasalaam, JF. Mh. Zitto Kabwe, mbunge machachari lakini very controversial sometimes, he moves mountains and he breaks new gounds and raises good debates on any topic and wins sometimes support of the public lakini wakati mwingine sijui has quick reverse ... Mimi kwa kweli nilimpongeza Mh...
  10. K

    Baraza Jipya la Mawaziri matarajio ya wananchi na Taifa kwa Ujumla.

    Kwanza kabisa, Mawaziri watakaofukuzwa kwa usifadi uliofanyaki katika wizara zao, ni maoni ya wananchi kwamba watafikishwa mahakamani haraka iwezekanavyo ili pia mawaziri watendewe haki inayostahili kwani wakiachwa wananchi wataendelea kuwahukumu pengine pasi sawa au ukweli kamilifu. Taifa...
  11. K

    Ndugai abanwa bungeni na kuahirisha bunge saa 5.30

    AG vs. Lissu nani zaidi wote ni wanasheria sasa nani kati yao ametoa ufafanuzi mzuri wa kanuni ? Naibu Spika ameshindwa kabisa kutoa mwongozo mpaka imebidi ahairishe bunge huku akitupa swali kwa kamati ya kanuni ambayo kazi yake ni kumshauri Spika..... hapo ni siasa tu msitarajie kitu hapo...
  12. K

    Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

    Nimesikiliza kwa umakini wa hali ya juu hotuba ya Ismail Jusa akimjibu Samwel Sitta. Kwa kweli wanasiasa wa aina ya Ismail Jusa kwa kweli ni hatari kwa Amani, mshikamano na Muungano wa Tanzania na ni hatari kwa Taifa. Mimi sijui hii nchi inakwenda wapi ....wakiongea watu wengine maneno hayo ya...
  13. K

    RAIA MWEMA: Bastola ya kigogo UVCCM yatoboa tumbo mwanafunzi wa CBE

    Sasa huyu kigogo ndio nani ?
  14. K

    UTEUZI wa Mabalozi wetu .....

    sasa kama mwelekeo ni huu....what future do we have as a country ????
  15. K

    Kuapishwa mabalozi wapya saba

    Kwa kweli hapo kwa Marmo sina IMANI na RAIS pamoja na wote waliomshauri kwa hilo .........Naomba kutoa hoja !!!! hakuna future hapo....hivi kustaafu kuna shida gani even after a person has saved in different capacities mbaya zaidi hata hana record ya kufanya mambo mazuri katika taifa hili ? (I...
  16. K

    UTEUZI wa Mabalozi wetu .....

    Uteuzi wa Mabalozi wetu na Mh. Rais kwa kweli mimi nina mashaka sana, hadidu za rejea sijui huwa nani anatengeneza ....Mh. Marmo amekuwa Mbunge na Waziri kwa nyakati tofauti takribani miaka 30....amekuwa mzee mwenye umri wa kutosha kabisa kupumzika lakini cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  17. K

    Sakata la Jairo/Luhanjo Wabunge walikuwa MOJA lakini Swala la Katiba Bunge liliparaganyika kwanini ?

    Ndugu zangu nawasalimu. Swala la Jairo/Lihanjo vs Swala la Katiba lipi wanatanzania walitarajia Bunge letu lionyeshe msimamo unaostahili na sio siasa ? Mimi nachelea kusema katiba mikutano yote yaliyokwisha kufanyika, mkutano huu wa mswada wa mabadiliko ya katiba mpya,Bunge na wabunge wetu...
  18. K

    Sasa bunge la jamhuri limeteza uhalali kama hata mambo ya msingi kama katiba yatafanywa kisiasa

    Watanzania wanzangu Tumekwisha. Imani yangu ni kwamba Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa limepoteza/litapoteza hadhi na heshima kama jambo kubwa sana kama hili la kikatiba linapelekwa kisiasa zaidi kama ambavyo tangu juzi sote tulivyoona. Sisi nashindwa kaamini kwamba lakini...
  19. K

    Ni halali Bastola ya katibu mkuu wa CDM kuonyeshwa hadharani na polisi?

    Mzee, sihitaji kwenda kwa Aden Rage kujua umuhimu wa kuwa na Bastola sio kwa viongozi tu, nichopinga ni double standards treament wanazopata wabunge wa CDM na wafuaasi wao sio ndivyo. Wao wakiandamana ambayo ni haki ya kikatiba basi wanawekwa ndani lakini CCM hapana. Hii sio, vyombo vya dola pia...
  20. K

    Ni halali Bastola ya katibu mkuu wa CDM kuonyeshwa hadharani na polisi?

    Ndugu zangu mimi nadhani nchi pasipo usawa kwa wote sio nzuri hata kidogo, imani ni kitu kizuri na sio cha kuchezea hata kidogo na Tanzania tujivunie sana amani ambayo misingi yake imejengwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Amani ni kitu cha misingi sana lakini lazima tuelewa mambo yafuatayo...
Back
Top Bottom