Search results

  1. E

    Team Magufuli vs Team Mafisadi

    Binaadam haachi kusema, Magu aendelee na kazi yake.
  2. E

    Kwanini sera za ujamaa na kujitegemea zilishindwa?

    Ikiwa ujamaa mbaya mbona wachina ni second largest economy.? Generalization sio nzur kwani hata hao capitalist mbona nao hali mbaya? Capitalists ndio walikua mstari wa mbele to enslave and colonize other nations. Kila mfumo una mazur yake na mabaya yake.Nchi makini huangalia lipi linafaa na kwa...
  3. E

    Hili la makampuni ya simu kulazimishwa kujiunga na soko la mitaji limekaaje?

    Kila mtu ana mawazo yake lakini uamuzi wa gvt ni mzur.Kilichobaki ni utekelezaji tu. Hao wanaopinga eti utakua uchumi was kicominist hawana mashiko. Mwaka 2008 UK gvt walitoa pesa kuzipa bank binafsi ili kusaidia credit crunch uliyotokea. Kitendo kile kilitionekana ni cha kicominist lakin...
  4. E

    Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Kulikoni Siku hizi Tambo zimeisha?

    thread km hii inasaidia nini zaidi ya kueneza chuki? Maradhi ni ya kila mtu.
  5. E

    Fatuma Karume: CCM just shoot in the dark

    Huyu mtu anasema hayo leo tena?
  6. E

    Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

    wadau hoja ya huyu mwenyekiti, ni kwamba serikal 3 ndio zitawafanya smz kushindwa kulipa, sasa swali ni jee kwenye serikal 2 wanalipa asilimia ngapi? Kama serikal 3 hawawezi kulipa sasa Maalim Seif na chama chenu kwann muje na option ya serikal 3? Wazanzibar kubalin serikal 2 tu lakin...
  7. E

    Samson Mwigamba: CHADEMA kuna ubaguzi

    Chadema mnasema mmeanza na Mungu na kumaliza na Mungu sasa ndo kauli zenu za kilaanifu zinawadhuru maana mnazani Mungu anataka upumbavu wenu na ulaghai? mnajitia kufuru zinawadhuru sasa. Ati tumeanza na Mungu sijui Mungu yupi anaetaka injustice. Labda hio mizimu ya wachaga ndo Mungu wenu. Nyambaf.
  8. E

    Mabilionea wa Arusha, vitalu vya gesi na dharau za serikali!

    Watanzania kushirikishwa kwenye high profile business kama hizo bado hawajafikia. Oneni jinsi wanavyoendesha hizo biashara zao ktk misingi ya ulaghai kama Chadema au Cuf seuze uchimbaji mafuta. Wambieni wawaonyeshe income statement zao muone balaa. Watanzania bado mapema.
  9. E

    CHADEMA hivi mnampango kweli wa kuichukua hii nchi au mnatutania na kutupotezea muda wetu!

    vyama vya kikanda, kikabila, au kibinafsi vina sifa zililizofanana. Ndio maana wananchi wanahiari wabakie na ccm japokuwa imeshindwa to meet citizens' expectations. Lakin ni kwa sbb hawaja alternative. Hata kwenye makampuni yetu binafsi usiulize kitu na ukiuliza tu basi ndio balaa.
  10. E

    Kingunge: JK ameitosa CCM - Katiba mpya

    Weken serikal 2 lakin punguzen mambo ya Muungano tu, mukiweka 3 Itabid muweke 4 pia. Hawa Kina Warioba wanajichanganya tu, Mambo ya Muungano yawe 3 tu. Serikal ziwe 2. Kuepusha nchi moja kuwa na marais 6.5 nadhan tuwe makini sana..... Lau kama mnatengezeana Ulaji tujue mapema tu.
  11. E

    Rushwa ya kutisha Zanzibar Revenue Board - Zanzibar

    PCCB mwisho Chumbe. Pale znz ipo taasisi yao ya kuzuia rushwa nadhan haijaanza kazi, lakin cha kushangaza ni kwamba wakati wanaajiriwa employees kwenye ile taasisi basi ili upate nafasi pale lazma utoe rushwa sasa sioni mantiki ya hio taasisi yao ya kuzuia rushwa. Lakin sio hivyo tu bali hio...
  12. E

    Maalim Seif: Nitagombea Urais Zanzibar uchaguzi wa 2015 na Ukatibu Mkuu wa CUF

    Kubaki kwa Maalim hapo cuf ni mtaji kwa ccm maana wanajua kucheza nae. Sasa ni hatar kubwa kwa ccm indapo huyu mtu atatoka kwenye madaraka maana kuna wana-cuf wengi hawakubaliani na Maalim lakin wanaogopa kusema. Kiufupi wanaogopa kumface na kumkosoa ni tofauti na huyo mpya atakaekuja. Jee...
  13. E

    Truth Matters: Wazanzibar Wanaunganishwa na nini hasa? Kwa hakika si historia au siasa!

    Ni kipi kichokidanya hapo? mfano mzur ni maneno yako mwenyewe hapo juu hebu isome hii comment inaonyesha kiasi gani hamjaunganishwa na dini yenu. "ila hao unaowajua wewe ni wale wale waliokimbia kodi ya kichwa, na wengine waliosindikiza mwenge" Na mwenzakao atakuja atakwambia wale makombo ya...
  14. E

    Truth Matters: Wazanzibar Wanaunganishwa na nini hasa? Kwa hakika si historia au siasa!

    kwani wazanzibar ni watu gani kisheria? Pili, natofautiana kidogo na wachangiaji wengine hapo juu, nnayo iman kwamba kinachowaunganisha wazanzibar ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa. Nje ya Muungano itakua visiwa viwili vyenye mamlaka kamili au tutashuhudia balaa ktk mwambao wa...
  15. E

    Mengi & IPP Mediocrity

    kila kitu mnakitia siasa tu, wakati mwengine mtumie akili sio siasa.
  16. E

    Waziri Zanzibar: Hakuna Muungano wa kisiasa tena ni wa kibiashara

    Muungano bado upo ila kuna wanaoupenda na wasioupenda, ni kama vile Muungano kati ya Unguja na Pemba, wengine wanaupenda wengine laa. Ila kwa hapo wazir kakusudia business collaborators, kama company.
  17. E

    CCM waanza kumsaliti JK! Wabunge wavimbia marekebisho ya Katiba

    Hii katiba mpya imekua kama uchaguzi mkuu? mbona malumbano hayeshi wadau? vyama vya siasa vinavuruga mswada wakati wanajua asilimia kubwa ya wananchi hawana vyama.
Back
Top Bottom