Search results

  1. N

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    kiboooooo pole sana
  2. N

    Natafuta Mchumba/mume

    jamani kwani watu hawaachani, ndo hivyo mungu akupenda kwa hiyo no more ndoa, ila penye nia pana njia.
  3. N

    Natafuta Mchumba/mume

    fidel umeanza mzaha
  4. N

    Natafuta Mchumba/mume

    Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu. Wasifu wangu. Jinsia-Kike Umri-29 Elimu-ya chuo naamanisha graduate Rangi-kahawa umbo-No 8 mnene Dini-Christian pombe-naonja kabila-chaga Ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na mshahara wa kawaida, mambo...
  5. N

    Ukiachwa kubali matokeo

    Hello wana JF, Happy new yr, Kuna rafiki yangu wa kike jina z kaachana na mchumba wake, sasa imekuwa tabu kweli huyo mwanaume anamtangazia vibaya dada wa watu eti ohooo demu kicheche nk, sasa nauliza hivi nyie wanaume wenye tabia hizo kwani kuna ulazima gani wa kuanza kumsema vibaya x wako...
  6. N

    Miezi miwili bila mawasiliano ameachwa?naomba ushauri

    My dear, hii kitu imenikuna coz am speeking from my experience, huyo jamaa aachane nae haraka sana, yani akimbie mbio ni ngumu but inambidi isee acha kabisa hawa wabeba mabox ni soo, achilia mbali kuoa vizee pia inawezekana kampata mbongo mwenzie mwenye green card, we nakwambi hakuna wapenda...
  7. N

    Girls Do You Agree!?

    LOL!!! labda sio mimi, huo ni utumwa, i disagree ya yote, wacha ndoa ivunjike.
  8. N

    Hivi ni kweli kuwa wasichana hawapendi mwanaume bila kupewa kitu?

    Hodi hodi jamani wanajamii nipokeeni maana mie ni mgeni humu wa kuchangia ingawa ni msomaji sana hii site long time, Nadhani mmenipokea kwa mikono yote, TUwe wakweli mapenzi bila hela au gari au chochote kama nyumba ni BIG NO, basi kama huna kabisa hata voucher!! dunia ilishapinduka long time...
Back
Top Bottom