Search results

  1. babukijana

    Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

    Hizo ni taka. Kuna Gucci,Lv,Abibas(Adidas) ,Mapu(Puma) Vyote famba. Unauziwa ukasaidie kutupa. Hakuna kenwood hapo.
  2. babukijana

    Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Hapo sikujibu,mi sio engineer. Ushawahi kupanda hata hiyo train?
  3. babukijana

    Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Zile ni magnet zinatumia,sio hata umeme.ikitembea inavutwa na sumaku mwisho wa safari. Speed ndogo 300kmh.zipo hadi 700kmph
  4. babukijana

    Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza.Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

    We 🦧aliyewatuma kwenda kuua kwenye festival oct 7 nani? Nishakwambia kale urojo ulale Nyau we. Gaza ipi unaongea hiyo ishabebwa kitambo, Wako Rafah huko mpakani ndugu zenu hawawataki vilevile muingie kwao. angalia taarifa idadi ya jana toka ijumaa. Mkishiba daku mnajiona wajaanja. Mapunguani...
  5. babukijana

    Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza.Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

    We bwege kweli kweli ,ina maana hujui kwamba hao wajinga wenzio walienda kuchukua mateka na kuua huko kwa wazayuni? Ushafuturu?maana labda nabishana na mtu hajala
  6. babukijana

    Hatimaye nimepata gono, kumbe ndo inauma namna hii?

    Hii kitu mtu hujui unapataje, Siku hizi mi afadhali nionane na ma x wangu tu najua huwa wako very care. Hawa makurumbembe mtaani nimeacha kabisa. Maradhi nje nje. Nilipigwa kitu mgando nikakoma.
  7. babukijana

    Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    We ali wazi usituletee upumbavu hapa. Meli 73,wakati hazipiti huko. Na hao wajinga wanatafutiwa dawa watalia sasa hivi. We nenda kale urojo ukanye ndo kazi mnaweza. Toa upuuzi hapa.
  8. babukijana

    Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    Angekua binti yangu, huyo mwanahizaya walai ningemtandika nayeye hivyo mara 2 yake. Angetamani kuhama dunia.
  9. babukijana

    Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer Bm 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Sasa Utachaji wapi na umeme hamna. Hizo za huko kwenye umeme wa kueleweka.
  10. babukijana

    Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    We ni fala tu,mambo yako usisumbue wengine nyau we. Kama ni mke wangu huyo hata mchepuko maji ungeita Mma.
  11. babukijana

    Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

    Update idadi huko ngapi? Wayahudi wa buza tunataka taarifa. Kipondo ni ijumaa mpk j3. Km tulivyokubaliana na wenzetu huko.
  12. babukijana

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Dah watu wamenuna kweli kweli. RIP JPM🥲.
  13. babukijana

    Kuna wamasai wazuri wakuu

    Wamang'ati nao haijambo,warangi usiombe.
  14. babukijana

    Kuna wamasai wazuri wakuu

    Wapo, wewe hujakutana na Wairaq au Wambulu,aisee hao watu wameumbwa sana.
  15. babukijana

    BARABARA KUTOKA CAIRO EGYPT--to--Capetown South Africa: HAPA TZ INAKATISHA MIKOA IPI?

    Sawa kabisa, Huwa nakaa kwenye Bus tu masaa 24.mle ndani kuna umeme,wifi,choo, Safari hiyo kwa ndege ni masaa mawili tu. Ila mle nakua nimefanya kazi zangu,nimelala kupumzika nimepiga ulabu,safari inaendelea,na huko unaenjoy mazingira sana ya vijijini. Kuna siku nimeona watu wanakimbia kuchukua...
  16. babukijana

    BARABARA KUTOKA CAIRO EGYPT--to--Capetown South Africa: HAPA TZ INAKATISHA MIKOA IPI?

    Wanakatiza Mbeya, Iringa then mtera,Dom hao Babati kwenda mbele huko wanapotea mpaka South. Kuna jamaa alitoka na pikipiki London mpaka Cape town wiki moja. Google "long way down" Kapita kote hapo bongo. Rwanda,Malawi, Botswana, Morocco,. Mpaka kafika yule mwamba.
  17. babukijana

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Ni Kitumbo mchele,uliwai kuwepo hapo zamani tu.
Back
Top Bottom