Search results

  1. mapinduzi daima

    DOKEZO Afisa utumishi, PSSF wachezea mfumo na kumstaafisha mtumishi kabla ya muda, alilipwa Milioni 72, akapokea Milioni 2 tu

    Ikithibitika wapigwe risasi au watupwe kwenye VIROBA Si wameona Unyama unalipa walipwe Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  2. mapinduzi daima

    Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    Sasa hayo ni makubaliano yako mchimbaji na mwenye leseni. ...NI UTARATIBU MLIOKUBALIANA Na wewe tafuta LESENI yako 100% ...uchimbe hakuna mtu atachukua % yoyote kutoka kwako isipokuwa Kodi halali ya Serikali.
  3. mapinduzi daima

    Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    Hapo kwenye 30% elezea kwa mapana...ili tujue A,B, C zake then ndio tuangalie suluhisho
  4. mapinduzi daima

    ANC ya Afrika Kusini yaazimia kujitoa mahakama ya ICC

    Ofisi ya Rais SA imekanusha kuwa SA inataka kujitoa ICC. ..matamshi ya Rais yalikuwa maoni yake na sio ya Nchi au ya ANC. Afrika Kuna shida ya afya ya akili kwa Viongozi wake
  5. mapinduzi daima

    Uongozi wa Dunia hii unafuata falsafa za Kaisari Agusto, Mfalme Herode na Gavana Pilato. Namuona Hayati Magufuli kama Agusto na Mbowe kama Pilato

    Naunga mkono hoja 2030 tunahitaji tena Dikteta Mzalendo baada ya SSH kumaliza awamu yake
  6. mapinduzi daima

    Biden nominates Indian American Ajay Banga to lead World Bank

    Ndugu yangu, inahitaji AKILI nyingi na MAONO ili kuwafikia Walio Dunia ya kwanza. Hatuna uwekezaji wa maana kwenye AKILI za watu wetu ndio maana licha ya MALIASILI tulizonazo bado Shule Hazina vyoo, Wananchi wanachangia maji na wanyama, Wanafunzi wanakaa chini na kuandikia chini, wengine...
  7. mapinduzi daima

    Turekebishane: TISS ni Idara au Taasisi?

    Haipo chini ya Utumishi Ipo chini ya Ofisi ya Rais Ikulu
  8. mapinduzi daima

    Wajane mliwaita Dodoma kuwadhihaki? Makamba na CCM waombeni radhi rasmi!

    Kwa kuwa amedhihaki mbele ya Mashahidi Maelufu..Mungu Mwenyezi ATAMJIBU KIKAMILIFU kabla ya kuisha 2023.
  9. mapinduzi daima

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Salute to H.E.R Fine body and beautiful ASS 99.9%
  10. mapinduzi daima

    Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

    Waungwana_ Nchi hii inatafunwa na walamba asali ..hili soko la machinga Dodoma ni uhuni na ufisadi tupu ... taarifa za awali gharama ni 9B CAG afanye special audit (VALUE FOR MONEY) Kodi zetu zinatumika isivyo
  11. mapinduzi daima

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Leo Man Utd anachana mikeka
  12. mapinduzi daima

    Ni kifurushi gani cha UTT ni bora kwa June 2022

    Ingia website ya UTT Wana Ofisi mikoani
  13. mapinduzi daima

    Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

    Huyu ni tai mweupe akitokea JW ...ni zao la TAI WA MWANZO KABISA waliofunzwa na JKN.. NI PRINCIPAL TAI MWEUPE
  14. mapinduzi daima

    Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

    Wapo Wawili CoS NDC Chief ...karibu CoS...CDF
  15. mapinduzi daima

    Jamani mshahara wa May 22 vipi

    Tutaongeza mwezi wa 7. ..na proportional kwa kuanzia 23% Kima Cha chini Watumishi muwe Wazalendo kwa Taifa letu
Back
Top Bottom