Search results

  1. Hajto

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Rajioon (إِنَّا ِلِلَّٰهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ ...
  2. Hajto

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Nilijua ndio yule anayetengeneza na kuuza bidhaa za ngozi hapa nchini ama ni ubini
  3. Hajto

    Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

    Naona kuna nyingine pale Ilala boma imeshajengwa nafikiri bado kufunguliwa tu,ila kutakuwa na matabaka sana madarsa ya zamani wasome wa kidumu na mfagio na hii mpya wasome wale kulipia ada
  4. Hajto

    FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

    Yaani hii Simba mahali ilipofikia sasaivi roho mkononi,furaha kidogo majonzi mengi
  5. Hajto

    Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Ni vituko zaidi ya vituko,kesho nadhani ndio itakuwa front page ya gazeti la Mwananchi
  6. Hajto

    Ofisi za Sao hill Tegeta hadi Bunju

    Ukimaliza kupaua naomba unipatie kazi ya Umeme(Wiring) katika nyumba yako
  7. Hajto

    Nafasi za intern CRDB

    Nilitegemea uje hapa na hayo makampuni unayoona yatawafaa ingekuwa nzuri zaidi,
  8. Hajto

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Ondoa shaka katika ilo,subira muhimu sana,kila mtu ananyakati zake alizopangiwa kupata jambo lake.....Mie nilioa mwezi wa nane mwishoni, na nikajaariwa kupata mtoto mwezi wa 6 wa mwaka unaofuata
  9. Hajto

    TAMISEMI imeajiri watumishi wa afya 275 wa mikataba imeshindwa kuwalipa kwa miezi mitatu sasa

    Poleni sana,Allah awajaarie roho ya huruma hao waajiri
  10. Hajto

    Nataka kujenga

    Haya yote kayataka Mwijako....kila mtu anataka kujenga gorofa
  11. Hajto

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    ungezitupia hapo juu chini ya maelezo yako ingependeza sana kujitangaza,na kama itakupendeza ungetaja na bei zako ama na kusema wateja wakwanza unawapa offa ya kiasi fulani cha pesa
  12. Hajto

    Bunge la 12: Serikali yasema Wakazi wa Dar watasambaziwa huduma ya mabomba ya gesi

    izo gesi zitakazosambazwa majumbani itakuwa bure kimatumizi ama tutalipia kama ruku
  13. Hajto

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Mungu akusaidie,ila ungeweza kuweka na picha kidogo za kazi ulizowahi kufanya za sofa itapendeza sana
  14. Hajto

    Dodoma ni kutamu jamani

    Pamoja na hayo yote kila ikifika Ijumaa v8 zote utazikuta zinakimbilia Dar
  15. Hajto

    Kulea wasiojiweza (Wazee na wale wanaohitaji uangalizi wa karibu) kwa walioopo Hospitalini au Nyumbani. Nipo tayari kuwahudumia

    Good idea,iubarikiwe sana kaka,natumai utajapata tu kazi,endelea na moyo huohuo
  16. Hajto

    TANZIA Mwenyekiti wa CCM Ununio Kunduchi afariki dunia

    Inna lillah wainah illahi rajioon
Back
Top Bottom