Search results

  1. T

    Honda xr600

    HONDA XR600 INAUZWA!(ARUSHA!) pikipiki iko kwenye hali nzuri kweli. Imetembea km 25.000 km tu tangu mpya yake 1993.zaidi ya miaka kumi ilikaa bila kutumia. Kila wakati ilifanya service sawa sawa na sasa hivi sprocket zote na mnyororo aina ya o-ringchain ni mpya, vile vile tairi ya nyuma ni mpya...
  2. T

    Sheria ya road license

    Nataka kujua kama kwa mfano gari imekufa miaka kama mitatu kwa sababu spare ni ngumu kupata au nguvu ya kufufua gari hili ni ndogo : je,ni lazima kulipia ushuru ya road license (hata kama hutembe barabarani!) au namna gani unaweza kukwepa kulipia road license kama unaweza kufanya na bima. Na...
  3. T

    Tractor linauzwa

    weka bei tafahdali, angalau tunajua lengo lako ni shillingi ngapi, na kama tuna uwezo Asante
  4. T

    Natafuta landcruiser hzj hardtop/pick-up

    Kweli,kule labda zipo lakini wanuza?? bei?? siyo nasafiri kwenda kule kwa kusikia tumemaliza kuuza :decision: mzee....
  5. T

    Natafuta landcruiser hzj hardtop/pick-up

    Nashida na gari aina ya landcruiser hzj 75/78/79 hardtop/pick-up kwenye hali nzuri tafadhali, (sitaki mkebe au ambayo imepiga tindo), tafadhali niandikia email ( bei + picha) yake. Asante
  6. T

    Property for sale-arusha tanzania

    watanzania wataweza kweli kununua tena sehemu ya kujenga nyumba yao.... kama vijana wanasoma kitu kama hiki wanakata tamaa, au vipi... kama kweli bei hii ni ya kihalali na ukweli, mimi naona nafuu kwenda Ulaya/Marekani na kununua sehemu kule kule, kwa 1mil/.USD (760.000 Euro) unapata eneo kubwa...
  7. T

    Lorry inauzwa - truck for sale

    lorry imeuzwa asante
  8. T

    Lorry inauzwa - truck for sale

    truck has been sold
  9. T

    NAFASI YA 1m3

    Nani anamjua mtu ambayo anasafirisha container karibuni kutoka Ulaya?? nahitaji nafasi ya 1m3 tu kwa jili ya kuweka spare moja tu ya gari. Haina uzito lolote, ni volume tu, gharama italipwa. Asante
  10. T

    NAFASI YA 1m3

    Nani anamjua mtu ambayo anasafirisha container kutoka Ulaya karibuni na amebaki na nafasi kidogo, nahitaji 1m3 tu kwa jili ya kuweka spare moja tu ya gari??haina uzito lolote, ni ukubwa (volume) tu. Gharama nitalipa
  11. T

    Kubadilisha mercedes benz truck

    imeuzwa
  12. T

    Ghrama ya pasipoti imepanda?

    Unajua kama unakaa porini kama mimi mbali na makao makuu unawategemea 'watu' ambayo wanjua njia kule Dar nidyo maisha.
  13. T

    Ghrama ya pasipoti imepanda?

    Ni kweli, ghrama ya pasipoti imepanda kutokana na budget mpya ya june 2009??Formu ya kwanza ilikuwa 10.000tsh na wakati kupata ilibaki kama 40.000tsh. hii ndiyo iliviyo mimi nilijua lakini sasa kuna mtu kutoka Uhamiaji anasema bei imepanda?? ni kweli?? Naomba jibu haraka, asante,
  14. T

    Kubadilisha mercedes benz truck

    imeuzwa
Back
Top Bottom