Search results

  1. chalii wa ara

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwanangu insider una interaction na mademu mpaka nachanganyikiwa kuwakumbuka 😅😅
  2. chalii wa ara

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    The most wanted reply we have been waiting for .... Hatimae
  3. chalii wa ara

    Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

    Wenye Mamlaka wamekuwa na kauli mbili mbili zinazochanganya raia
  4. chalii wa ara

    Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

    Hao watengenezaji wa 3d wanaharibu biashara kivipi wakati Bila plate no zao hizo 3d zinawekwa wapi ? ... By the way Kwa namna moja ama nyingine 3d zimebooat Sana sokonla plate no maana hata yule mwenye plates za zamani inamlazimu kuweka Mpya ili 3d ipendeze vizuri .
  5. chalii wa ara

    Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

    Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d
  6. chalii wa ara

    Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Nani wa kumfunga paka kengele
  7. chalii wa ara

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Pole Sana mkuu Kwa kipindi chote cha kuuguza mpaka mwisho wake , Mungu wa Mbinguni azidi kukutia nguvu Kwenye kipindi hiki kigumu Zaidi
  8. chalii wa ara

    Mzee Kikwete anatakiwa kuelewa kuwa Dini ni Siasa na Siasa ni Dini

    Kama dini na sasa havichangamani basi wakati wa kuapishwa washike vitambi vyao badala ya biblia na msaafu
  9. chalii wa ara

    Usikose mnada huu kutoka Ubalozi wa Marekani

    Hii taarifa haina ukweli, kwenye website ya mnada Tanzania has not listed kuwa kutakuwa na mnada.
  10. chalii wa ara

    3d Plate numbers

    Wakuu karibuni sana, Mungu ni mwema kazi inaendelea.
  11. chalii wa ara

    3d Plate numbers

    Tunashkuru kwa wale ndugu zetu kutokea hapa wanaotupigia simu na kufanya nao kazi, karibuni sana wateja wetu zaidi from jf.
  12. chalii wa ara

    3d Plate numbers

    Mkuu ahsante sana kwa ushauri wako, be blessed.
  13. chalii wa ara

    3d Plate numbers

    Yenye no ndyo tunaweka mkuu, hiyo nimesema kwa wenye gari mpya zisizo na no au wenye plate no zilizo na chakaa na kuhitaji kuweka mpya
  14. chalii wa ara

    3d Plate numbers

    Je unapenda gari lako kuwa na muonekano mzuri na wa kijanja unaonendana na wakati wa sasa ? Kama ndivyo karibu ofisini kwetu tukutengenezee 3d plate kwa gharama nafuu Tunapatikana Kariakoo, Kibambawe na Jangwani Street Mawasiliano 0713 979798
  15. chalii wa ara

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Hii nimeiona leo, salute kwa mtunzi
  16. chalii wa ara

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Hii Ahsante yako haisaidii kitu kama hakuna mnachokifanya kwa maoni ya wadau
  17. chalii wa ara

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Mkuu usisahau jukwaa letu la wakubwa, members wa jukwaa lile tumekuwa kwenye kifungo cha mateso kwa muda mrefu sana bila kujua hatma yetu... Ni matumaini yetu utaskia kilio chetu na kwa kutuondoa kwenhe hiki kifungo dhalimu.
Back
Top Bottom